Hii ni aibu kubwa: Ndege tumenunua kwa keshi, vifaa vya kupambana na Corona tumesubiri msaada wa Jack Ma

Ndio hapo tunapo kosea kipaumbele majengo sio kuwekeza kupata wanachama kwanza na ndiyo maama Makaburu walipo inunua NBC waliuza majengo kuongeza mtaji nikuulize wewe ni majengo mangapi mapya tangu vyama vingi vianze kwa ruzuku kubwa upatayo umejengea?
 
Pesa ya kuwatoa wakina mbowe ilikuwa michango ya wananchi. Watu walitoa 1000 hata 500 mpaka zikatimia. Wakiamua leo kuchangisha pesa kununua izo mashine inawezekana sana ndani ya saa 48 pesa ikatimia.

Ila upande wa serikal na ccm wao pesa ipo tu ni ya kuvuta. Haihitaji kuchangisha. Ni swala la kupiga simu hazina muamala unasoma.

Wewe kma unaakili timamu kipi unaona ni bora. Kuchangisha wazalendo ( masaa 48) au kuvuta pesa hazina( dakika 15) ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabisa Mkuu,Tena wangerudisha na zile 38 zetu tukizo mlipia Bwana Yule,maana ukoo mzima walijikusanya wakapata 2t,tufanye mahesabu ya haraka ukoo una wanaukoo 200, that means kila mwanaukoo alitoa sh 1000,halafu umeshalipiwa unatoka una bwatuka
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuh!
 
Pesa za umma zinapotumika bila kuzingatia vipaumbele muhimu ndo shida inaanzia hapo, ngoja tuendelee kutegemea kudra za Mwenyezi
 
Umeandika vizuri sana. your greater thinker.

Ila umeharibu kidogo umeandika kisiasa sana. Ijapokuwa huu ni wakati wa kupima akili kubwa na ndogo, maamuzi magumu au ya kigugumizi.

Pia ni wakati wa kuweka imani kwa serikali yetu au ku demotion serikali hii kwa hatua na uharaka wa kushughulika na hili gonjwa hatari.
 
Tukisema waafrika wana akili ndogo kuna watu wanahisi tumewadharau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…