Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
Yaani haya majamaa yanadharirika 🤣🤣🤣🤣Huyo alivyosimama kama vile sio mjeda labda yupp mafunzoni kwa vitendo😆
Ndo mambo yalivyo hukoHivi Hili ni jeshi au mgambo wa jiji maana polisi anayaelekeza na yenyewe yamekaa yanamsikiliza kweli nchi imeoza🤣🤣🇹🇿🇹🇿
Hahahaha😁😁😁😁
Hahahaha
Hahahaha kweli aisee 🤣🤣🤣🤣Tanzania hakuna wanajeshi, kuna wavaa magawanda.
Sasa naelewa kwann kuna kipindi walikuja na kampeni ya kupiga marufuku raia kuvaa nguo zinazofanana na magwanda. Maana hawana kitu cha ziada zaidi ya magwanda.
Usikute hapo wanapangiwa kifagia barabara siku ya 9DHakuna jeshi tanzania
Wanaburuzwa tu na wanasiasa viongozi wanavyotaka
Ova
We kichaaa kweli yaani polisi ampe maelekezo mwanajeshi anayelinda nchi ambayo na polisi nae analindwa 'a mwanajeshi una akili timamu kweliNi vile protocol na kanuni za kijeshi hazieleweki kwa raia ,maana ilibidi utuoneshe mtoa maelekezo ana cheo gani na anayepokea ana cheo gani ili tuweze kusema haikuwa sawa yeye kupewa maelekezo .
Isitoshe vyote ni vyombo vya usalama na viko kuimarisha uoga dhidi ya mzee Agu hivyo sioni ajabu lolote
AiseeAu kweli wamevalisha gwanda uvccm 😳 maana hii ni maajabu!
Duh,
Sasa kama hata Chalamila aliwahi kuwapangia wanajeshi kufanya usafi mitaani. Polisi atashindwa vipi kumpangia mwanajeshi??We kichaaa kweli yaani polisi ampe maelekezo mwanajeshi anayelinda nchi ambayo na polisi nae analindwa 'a mwanajeshi una akili timamu kweli
Binafsi sioni tatizo polisi kumwelekeza mjeshi, provided polisi anatimiza majukumu yake.Hivi Hili ni jeshi au mgambo wa jiji maana polisi anayaelekeza na yenyewe yamekaa yanamsikiliza kweli nchi imeoza yaani jitu kabisa na gwanda zake linamsikiliza polisi hii ni maajabu 🤣🤣🤣🤣🤣