Hii ni aibu leo Tabata. Polisi anatoa maelekezo kwa Wanajeshi aisee

Intensity ya course na maslahi kweli
Japo niliwahi sikia katika vyombo vyote vya ulinzi na usalama nchi hii wenye course ngumu ya awali ni jeshi la magereza ila sina uhakika, lakini ndio jeshi linalodharaulika zaidi na lenye maslahi madogo na mazingira magumu kwa watumishi wake, kwa kifupi haya mambo ya majeshi kudharauliana naona yapo bongo tu sijui huko kwa wenzetu.. japo na wananchi nao kuna namna wanayagrade majeshi yetu kulingana na treatment wanazopata toka kwa watumishi wa majeshi husika!!
 
  • kuhusu maslahi majeshi ya mambo ya ndani (police, magereza, uhamiaji, zimamoto) maslahi yanafanana.
  • kuhusu ugumu wa kozi I think Jwtz ndio ngumu kuliko zote.
 
Yeah hao wa mambo ya ndani wanafanana kwenye salary scale ila posho wanatofautiana, kimaslahi ukijumlisha mishahara na posho pamoja na madili ya pembeni uhamiaji ndio wanaongoza, kuhusu ugumu wa course hata mimi najua ni jwtz ila ndio hivyo kila jeshi linavutia upande wake
 
Back
Top Bottom