Hii ni aibu leo Tabata. Polisi anatoa maelekezo kwa Wanajeshi aisee

Hii ni aibu leo Tabata. Polisi anatoa maelekezo kwa Wanajeshi aisee

Picha hii inayosambaa mitandaoni ikiwaonyesha wanajeshi wa JWTZ wakipokea maelekezo kutoka kwa Polisi imeibua mjadala mkubwa. Huku wengine wakiona kama ni kushusha hadhi ya jeshi la wananchi, swali linabaki ni Je! Itifaki ya vyombo vya ulinzi na usalama inawezekana kwa jambo hili?

Hivi Hili ni jeshi au mgambo wa jiji maana polisi anayaelekeza na yenyewe yamekaa yanamsikiliza kweli nchi imeoza yaani jitu kabisa na gwanda zake linamsikiliza polisi hii ni maajabu 🤣🤣🤣🤣🤣
View attachment 3509291
unashangaaa nini hata wewe kesho tu ukiwa mkuu wa wilaya mpaka mwenye cheo cha major watakupigia salute mkuu wa mkoa mpaka magenerali wanakupigia salute ukiwa rais woteeeeeeeeee wanakupigia salute na huku hujapita hata mgambo
 
Does this surprise you?

Unashangaa nini na wakati kuna wenzao wawili wanashirikiwa na polisi Mafwele na wanasubiri kifo tu na pengine si ajabu hata walishauawa na mikono ya Mafwele.

JWTZ ni Jeshi la wajinga maana limekubali kuwa chini ya mtu ambaye hana sifa za kuwa amri jeshi mkuu.

JWTZ ni jeshi la vilaza kwa sababu limeacha majukumu yake ya kulinda wanainchi na sasa linamlinda mtawala, bila kujua wanainchi ndio wanalipa mishaara yao.

JWTZ ni jeshi la matahira maana linapokea na kutii amri za wanasiasa hata kama amri hizo ni hatarishi kwa maisha ya watu na taifa kwa ujumla.

JWTZ ni jeshi la wapumbavu maana hawana akili, wanatumia nguvu kwenye kila jambo na ubabe wao ni kwa raia tu.

Ni mara kumi kutegemea hata kikosi cha ulinzi shirikishi hapo mtaani kuliko JWTZ.
 
Hakuna jeshi tanzania
Wanaburuzwa tu na wanasiasa viongozi wanavyotaka

Ova
Hakika..!
Sasa inaeleweka bayana ni kwanini Capt. Tesha aliamua kujilipua na kuongea vile.
Hali ni mbaya huko jeshini.
 
Sio joint operation, operation ipo chini ya polisi bado ndio maana wakiwa on top.
 
Hao migambo ya jiji sasa hivi.
Kkoo yamejazana kwenye mwendokasi yanavuta mibange tu!
 
Kama M23 tu iliwashika miguu juu kichwa chini na kuwapitisha Rwanda kisha kuwatupia Rusumo ili warejee makwao unadhani kuna hata mmoja wa kujitikisa mbele ya jeshi imara la police?
Hao hata sungungu ya Shinyanga inawatoa kamasi.
 
Watu mnajidanganya sana. Si kila mwanajeshi yupo juu ya polisi wote.

Umchukue Private wa JWTZ useme yupo juu kwa cheo kwa Inspector wa jeshi la polisi?
Private ni sawa na assistant inspector, koplo ni sawa na inspector, sajenti ni sawa na ASP
 
Back
Top Bottom