Hii ni aibu leo Tabata. Polisi anatoa maelekezo kwa Wanajeshi aisee

Hii ni aibu leo Tabata. Polisi anatoa maelekezo kwa Wanajeshi aisee

Kwenye Hali kama hii TISS kwa kawaida wanavalishwa magwanda ya jeshi. Huenda huyo anayepewa maagizo ni afisa wa Tiss na anayetoa maagizo ni afisa wa Tiss vile vile! Hapo hakuna mjeshi Wala polisi.
Ila zipo post za wanajeshi wenyewe kukereka na kinachowatokea ujaziona, nakubaliana na wewe tiss kwa ngoma hii peke yao hata lisaa limoja hawatoboi, lakini pia police plus jeshi hawatoboi kama kweli wananchi wakisema tupo barabarani siku saba tu ambazo ni nyingi.

Mfano mtiti upigwe kila kata, wilaya mkoa ,majiji kwa amani kabisa ,yani wanalala barabarani ,wanaamukia barabarani ,wanapigia mswaki barabarani watafanya nini,
 
Ipe maneno hii picha,

20251129_184308.jpg


Mimi Mjanja M1 naanza na, "Nenda kaninunulie Maji, na sigara mbili"

Endelea nawewe kwa kuipa maneno...
 
Yaani Tanzania ya leo imegeuka kuwa uwanja wa wajeda kupiga doria...
 
Mimi mwenyewe nilikuwa karibu nao.nilishangaa sana kumwona polisi anamwambia mwanajeshi uko timamu? Kwa ukali.Toka maandamano yalipofanyika NIMEONA polisi ana nguvu kuliko mwanajeshi.
 
Tanzania hakuna wanajeshi, kuna wavaa magawanda.

Sasa naelewa kwann kuna kipindi walikuja na kampeni ya kupiga marufuku raia kuvaa nguo zinazofanana na magwanda. Maana hawana kitu cha ziada zaidi ya magwanda.
😁😁😁
 
Military chain of command inahusisha jeshi kupokea amri za polisi?
Je jeshi linatambua amri haramu au mwendo ni tekeleza kwanza maswali baadae?
 
Back
Top Bottom