Kumbe hUna elimu na kama umesoma basi haijakusaidiaAkili huna yaani mwanajeshi aelekezwe na polisi hivi una akili timamu kweli
Kaka mambo yako haya wape elimu 😅😅Kumbe hUna elimu na kama umesoma basi haijakusaidia
Sasa maajabu yanatoka wapi hapo, mkuu 'Nightmare', kama siyo kutaka kuwalaumu tu hao kwenye picha.Picha hii inayosambaa mitandaoni ikiwaonyesha wanajeshi wa JWTZ wakipokea maelekezo kutoka kwa Polisi imeibua mjadala mkubwa. Huku wengine wakiona kama ni kushusha hadhi ya jeshi la wananchi, swali linabaki ni Je! Itifaki ya vyombo vya ulinzi na usalama inawezekana kwa jambo hili?
Hivi Hili ni jeshi au mgambo wa jiji maana polisi anayaelekeza na yenyewe yamekaa yanamsikiliza kweli nchi imeoza yaani jitu kabisa na gwanda zake linamsikiliza polisi hii ni maajabu 🤣🤣🤣🤣🤣
View attachment 3509291
Umempa jibu la kueleweka; lakini nina mashaka sana kama bado atakuelewa.Ni vile protocol na kanuni za kijeshi hazieleweki kwa raia ,maana ilibidi utuoneshe mtoa maelekezo ana cheo gani na anayepokea ana cheo gani ili tuweze kusema haikuwa sawa yeye kupewa maelekezo .
Isitoshe vyote ni vyombo vya usalama na viko kuimarisha uoga dhidi ya mzee Agu hivyo sioni ajabu lolote
Hawa sasa kuanzia leo wawe wanalipa nauli kwenye vyombo vyetu vya usafiri huwa wanapewa fair ,ila sasa hawastahili, alafu najiuliza jeshini hakuna majemedari na wazalendo wa kuweza kuwatulia viongonzi wa juu ambao wanaamua kulibagaza jeshi kisa siasa za ccm.
Mkuu wako akitoa order inatakiwa kuitii ila sio kila hata kama ni batili ,vinginevyo kwa umoja wenu mnatakiwa kumuadabisha pia
By that time pamoja kuwa kuruta hata kama badae kiliwaramba mlionesha ushirikiano ,sasa tiyri ni staff utofauti ni vyeo , na wapo zaidi laki 3, mnakubalije sasa mbagazwe aliye juu kwa mambo ambayo hayapo sawaUmenikumbusha jambo fulani. Ngoja nicheke kwanza af nisimulie😂😂😂😂
Miaka fulani, tukiwa jkt, siku moja afande (hawa jkt wakufunzi wenye V za kijani mabegani) alitupeleka kwenye fatiki eneo la mbali kidogo na kikosi.
Sasa tukiwa huko, sikumbuki chanzo kilikuwa ni nini, lakini ilifika muda tukawa tunagomea amri zake. Kila analosema tunagoma, kila anachoamrisha tunagoma. Tulikuwa ngorongoro tu (wanaume tu)
Basi akawa mpole, tukawa tunaendelea na fatiki vile tunataka sisi makuruta. Kumbe ameliweka moyoni.
Jioni baada ya chakula cha jioni, tulipofeni kwenye kombania, oya tulipigwa doso la kikatili sana hadi serengeti (mademu kuruta wenzetu) wakajawa na huruma karibia wote wakaanz kulia. Wengine walipandisha mapepo😂😂😂😂
Ile show sitaisahau manina zake yule jkt mkufunzi
By that time pamoja kuwa kuruta hata kama badae kiliwaramba mlionesha ushirikiano ,sasa tiyri ni staff utofauti ni vyeo , na wapo zaidi laki 3, mnakubalije sasa mbagazwe aliye juu kwa mambo ambayo hayapo sawa
Picha hii inayosambaa mitandaoni ikiwaonyesha wanajeshi wa JWTZ wakipokea maelekezo kutoka kwa Polisi imeibua mjadala mkubwa. Huku wengine wakiona kama ni kushusha hadhi ya jeshi la wananchi, swali linabaki ni Je! Itifaki ya vyombo vya ulinzi na usalama inawezekana kwa jambo hili?
Hivi Hili ni jeshi au mgambo wa jiji maana polisi anayaelekeza na yenyewe yamekaa yanamsikiliza kweli nchi imeoza yaani jitu kabisa na gwanda zake linamsikiliza polisi hii ni maajabu 🤣🤣🤣🤣🤣
View attachment 3509291
Hakuna mwanajeshi humo... Haya ndo madhara ya baba kantuma Jeshini na unaeza kuta ni mwanaume
Sasa hapo mmejuaje anapewa maelekezo au sababu Maria kasema.... Mambo ya kawaida kabisa kwenye joint oparesheni haya mnayakuza kijinga tu..Picha hii inayosambaa mitandaoni ikiwaonyesha wanajeshi wa JWTZ wakipokea maelekezo kutoka kwa Polisi imeibua mjadala mkubwa. Huku wengine wakiona kama ni kushusha hadhi ya jeshi la wananchi, swali linabaki ni Je! Itifaki ya vyombo vya ulinzi na usalama inawezekana kwa jambo hili?
Hivi Hili ni jeshi au mgambo wa jiji maana polisi anayaelekeza na yenyewe yamekaa yanamsikiliza kweli nchi imeoza yaani jitu kabisa na gwanda zake linamsikiliza polisi hii ni maajabu 🤣🤣🤣🤣🤣
View attachment 3509291
Wamejitakia aacha waendelee kudharauliwa si mfo wanachotakaPicha hii inayosambaa mitandaoni ikiwaonyesha wanajeshi wa JWTZ wakipokea maelekezo kutoka kwa Polisi imeibua mjadala mkubwa. Huku wengine wakiona kama ni kushusha hadhi ya jeshi la wananchi, swali linabaki ni Je! Itifaki ya vyombo vya ulinzi na usalama inawezekana kwa jambo hili?
Hivi Hili ni jeshi au mgambo wa jiji maana polisi anayaelekeza na yenyewe yamekaa yanamsikiliza kweli nchi imeoza yaani jitu kabisa na gwanda zake linamsikiliza polisi hii ni maajabu 🤣🤣🤣🤣🤣
View attachment 3509291