Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
- Thread starter
- #21
Akili huna yaani mwanajeshi aelekezwe na polisi hivi una akili timamu kweliBinafsi sioni tatizo polisi kumwelekeza mjeshi, provided polisi anatimiza majukumu yake.
Akili huna yaani mwanajeshi aelekezwe na polisi hivi una akili timamu kweliBinafsi sioni tatizo polisi kumwelekeza mjeshi, provided polisi anatimiza majukumu yake.
Ndio maana nikasema ho ni vilazaSasa kama hata Chalamila aliwahi kuwapangia wanajeshi kufanya usafi mitaani. Polisi atashindwa vipi kumpangia mwanajeshi??
Ninazo zote kaka ,naongea nilichokiishi na ninachoweza kuwa nakiishi mpaka sasa mkuu wangu .We kichaaa kweli yaani polisi ampe maelekezo mwanajeshi anayelinda nchi ambayo na polisi nae analindwa 'a mwanajeshi una akili timamu kweli
Anaelekezwa nini? Hebu niambie wewe mwenye akili.Akili huna yaani mwanajeshi aelekezwe na polisi hivi una akili timamu kweli
Hawata kuelewa kbsaNi vile protocol na kanuni za kijeshi hazieleweki kwa raia ,maana ilibidi utuoneshe mtoa maelekezo ana cheo gani na anayepokea ana cheo gani ili tuweze kusema haikuwa sawa yeye kupewa maelekezo .
Isitoshe vyote ni vyombo vya usalama na viko kuimarisha uoga dhidi ya mzee Agu hivyo sioni ajabu lolote
Angalia picha hapo wanajeshinwanapewa maelekezoWe kichaaa kweli yaani polisi ampe maelekezo mwanajeshi anayelinda nchi ambayo na polisi nae analindwa 'a mwanajeshi una akili timamu kweli
Ni kweli unachosema ni kwamba kwa Sasa vile vtuo vya polisi vikubwa vinalindwa na JW...ukute anatoka maelekezo sehemu sensitive za kiulinzi before talking off..Picha hii inayosambaa mitandaoni ikiwaonyesha wanajeshi wa JWTZ wakipokea maelekezo kutoka kwa Polisi imeibua mjadala mkubwa. Huku wengine wakiona kama ni kushusha hadhi ya jeshi la wananchi, swali linabaki ni Je! Itifaki ya vyombo vya ulinzi na usalama inawezekana kwa jambo hili?
Hivi Hili ni jeshi au mgambo wa jiji maana polisi anayaelekeza na yenyewe yamekaa yanamsikiliza kweli nchi imeoza yaani jitu kabisa na gwanda zake linamsikiliza polisi hii ni maajabu 🤣🤣🤣🤣🤣
View attachment 3509291
Kawaambie sasaTanzania hakuna wanajeshi, kuna wavaa magawanda.
Sasa naelewa kwann kuna kipindi walikuja na kampeni ya kupiga marufuku raia kuvaa nguo zinazofanana na magwanda. Maana hawana kitu cha ziada zaidi ya magwanda.
Hiyo kazi ilipaswa kufanyiwa na migambo na askari jamii nikuulize TU ikitokea nchi jirani ikasogeza silaha zake mpakani anaenda nani Sasa ilihali wote wako huku mtaani kukimbizana na bodabodaNi vile protocol na kanuni za kijeshi hazieleweki kwa raia ,maana ilibidi utuoneshe mtoa maelekezo ana cheo gani na anayepokea ana cheo gani ili tuweze kusema haikuwa sawa yeye kupewa maelekezo .
Isitoshe vyote ni vyombo vya usalama na viko kuimarisha uoga dhidi ya mzee Agu hivyo sioni ajabu lolote
Warukishwe kichura chura kabisaPicha hii inayosambaa mitandaoni ikiwaonyesha wanajeshi wa JWTZ wakipokea maelekezo kutoka kwa Polisi imeibua mjadala mkubwa. Huku wengine wakiona kama ni kushusha hadhi ya jeshi la wananchi, swali linabaki ni Je! Itifaki ya vyombo vya ulinzi na usalama inawezekana kwa jambo hili?
Hivi Hili ni jeshi au mgambo wa jiji maana polisi anayaelekeza na yenyewe yamekaa yanamsikiliza kweli nchi imeoza yaani jitu kabisa na gwanda zake linamsikiliza polisi hii ni maajabu 🤣🤣🤣🤣🤣
View attachment 3509291
Bro Alex on the beat ,relax kaka mambo ya usalama na vyombo vyake yako complicated kwa raia sio rahisi kuelewa kila kitu na sio kila kitu utaelezwa kaka ,kikubwa tubaki hapa kula ubuyu wa D9 basiHiyo kazi ilipaswa kufanyiwa na migambo na askari jamii nikuulize TU ikitokea nchi jirani ikasogeza silaha zake mpakani anaenda nani Sasa ilihali wote wako huku mtaani kukimbizana na bodaboda
Vijana acheni hamasa za kijinga. Suala la maelekezo mbona la kawaida tu, je kama hao Wanajeshi ndio Wana muhimu huyo Polisi ili atoe maelezo, mnajuaje ?Picha hii inayosambaa mitandaoni ikiwaonyesha wanajeshi wa JWTZ wakipokea maelekezo kutoka kwa Polisi imeibua mjadala mkubwa. Huku wengine wakiona kama ni kushusha hadhi ya jeshi la wananchi, swali linabaki ni Je! Itifaki ya vyombo vya ulinzi na usalama inawezekana kwa jambo hili?
Hivi Hili ni jeshi au mgambo wa jiji maana polisi anayaelekeza na yenyewe yamekaa yanamsikiliza kweli nchi imeoza yaani jitu kabisa na gwanda zake linamsikiliza polisi hii ni maajabu 🤣🤣🤣🤣🤣
View attachment 3509291
Ukisoma hiyo taarifa ya huyo mwanajeshu kwa huyo Mwanamke, sidhani kama huyo mwanajeshu mwanaume na ni mwanaume, kazi ipo. Sababu uwasilishaji wake ni dhaifu sana na wakulalamika, hizi ni tabia za kike.