Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,566
- 88,575
Sasa mbona umefananisha vyeo ambavyo viko mbali mbali sana hakuna aliyesema kila mwanajeshi yuko juu ya polisi wote, ila ukimchukua mwanajeshi na polisi wenye vyeo vinavyofanana basi mwanajeshi atakuwa juu ya polisi, private wa jeshi yuko juu ya constable wa polisi na luteni wa jeshi yuko juu ya inspekta wa polisi ingawa rank zao zinaonekana sawaWatu mnajidanganya sana. Si kila mwanajeshi yupo juu ya polisi wote.
Umchukue Private wa JWTZ useme yupo juu kwa cheo kwa Inspector wa jeshi la polisi?