Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
- Thread starter
-
- #61
Punguani mkubwamungu wa Chato alikuwa haambiliki, alikata miti takriban 4-6 Milion kupisha ujenzi wa bwawa la JNHPP. Tulipokosoa mliona tunampinga DIKTETA.
Sasa athari za UHAYAWANI wa Magufuli tunazipata upfront, nanyi misukule ya Mwendazake mnamlaumu Rais Samia. Pumbavu zenu kabisa
Sasa unamchukia kwa nini?Alimtomba
mpumbavu wewe. huyo hayati alisambaza kutoka wapi hadi wapi?Kiongozi mkuu unalalama kuwa watu wanakosa maji kwa kwa sababu ya kukata miti!
Kuna ziwa Victoria lina maji ambayo yanatakiwa kusambazwa mpaka Darisalama.
Una Ziwa Tanganyika.
Una Ziwa Nyasa na Ziwa Manyara na Eyasi.
Kwa nini usisambaze maji toka hizi water bodies?
Tutakukumbuka hayati.View attachment 2404311
Hujui kama sasa maji yamefika Tabora? Hujui kuna ungio pale Igunga? Mzee baba msingemuua maji yangefika Dodoma mpaka Dar.mpumbavu wewe. huyo hayati alisambaza kutoka wapi hadi wapi?
embu tuachie ujinga wako wa kuwasema vibaya watu kila kukicha kwa chuki zako
Hayati alihamisha makao makuu kwenda dodoma leo dodoma kuna maji?
kumfufue uzikwe wewe ili alete maji
hizo ni project zilianza tangu enzi za kina ben wewe... shida yako mjini ulikuja kusoma.Hujui kama sasa maji yamefika Tabora? Hujui kuna ungio pale Igunga? Mzee baba msingemuua maji yangefika Dodoma mpaka Dar.
Pumbavu mbwa wewehizo ni project zilianza tangu enzi za kina ben wewe... shida yako mjini ulikuja kusoma.
mungu ndiye aliyemuua kuepusha nchi yetu kutawaliwa na kiongozi NYAPARA/DICTATOR UCHWARA.
Aliiba uchaguzi 2020 na kupeleka misukule yake kina gwajima bungeni ili atawale milele mungu akampiga ngala..
Alipora korosho za wakulima huko kusini akitumia JWTZ kwa ghiriba na uongo wake... mungu akamfyeka sasa kusini ni neema
alikataa kuwaongezea watumishi mishahara na kuwapandisha madaraja huku akiwaita wezi ... mungu akapiga ngwala fyekelea mbali
alipandisha makato ya mikopo toka 8-15% mungu akapiga mweleka sasa imepunguzwa tunaishi kwa amani
Alimpiga risasi Tundu lisu akidanganya kuhusu madini na makinikia ... yeye mungu akamuua kabisa Tundu lisu yu hai anadunda kama chuma cha pua
MUNGU FUNDI
KAMFUFUE UZIKWE WEWE
ndiyo mwisho wako wa kufikiria huo... sikushangai.Pumbavu mbwa wewe
Foolish body.Tikutane ana kwa ana tuzipige. Nipo Ubungo Kibo
MajKiongozi mkuu unalalama kuwa watu wanakosa maji kwa kwa sababu ya kukata miti!
Kuna ziwa Victoria lina maji ambayo yanatakiwa kusambazwa mpaka Darisalama.
Una Ziwa Tanganyika.
Una Ziwa Nyasa na Ziwa Manyara na Eyasi.
Kwa nini usisambaze maji toka hizi water bodies?
Tutakukumbuka hayati.View attachment 2404311
Mkuu huyo kwenye avatar ni wewe, umenikumbusha mbali " amekuinua"mungu wa Chato alikuwa haambiliki, alikata miti takriban 4-6 Milion kupisha ujenzi wa bwawa la JNHPP. Tulipokosoa mliona tunampinga DIKTETA.
Sasa athari za UHAYAWANI wa Magufuli tunazipata upfront, nanyi misukule ya Mwendazake mnamlaumu Rais Samia. Pumbavu zenu kabisa
Kama nchi tumefika kubaya.Kuna wakati leo alifikia hatua anawabembeleza wakuu wa Mikoa ya Pwani na Dar eti wajitahidi kwenda kuvunja kingo zinazozuia maji kutiririka.
Kumbuka kuwa maji ya Ziwa Victoria yanatumika Tabora, kumbuka kuna mabilioni ya shilingi yanatumika sasa hivi kwa ajili ya miradi ya maji mikoani.Kiongozi mkuu unalalama kuwa watu wanakosa maji kwa kwa sababu ya kukata miti!
Kuna ziwa Victoria lina maji ambayo yanatakiwa kusambazwa mpaka Darisalama.
Una Ziwa Tanganyika.
Una Ziwa Nyasa na Ziwa Manyara na Eyasi.
Kwa nini usisambaze maji toka hizi water bodies?
Tutakukumbuka hayati.View attachment 2404311
Pwani yote imekuwa jangwa malori mengi ya mkaa kila siku yanatoka wilaya za mkoa huo kuuleta Dar halafu mtu anashangaa huu ukame unakuja vipi.
Heee!!mkuu unafahamu juu ya ulichokiandika!!!Mwanza,bukoba,Musoma,na sasa Shinyanga si wanatumia maji ya ziwa victoria?!!Maziwa hayana maji safi. Wananchi wanajisaidia ndani ya hayo maziwa, nani atatumia hayo maji? Hata samaki wa hayo maziwa hatutaki. Yasafishwe kwanza na watu wa karibu nayo waelimishwe.
CCM mafanikio yao ya miaka 60 ya Uhuru ni sera ya kufyatua watoto...!!Kiongozi mkuu unalalama kuwa watu wanakosa maji kwa kwa sababu ya kukata miti!
Kuna ziwa Victoria lina maji ambayo yanatakiwa kusambazwa mpaka Darisalama.
Una Ziwa Tanganyika.
Una Ziwa Nyasa na Ziwa Manyara na Eyasi.
Kwa nini usisambaze maji toka hizi water bodies?
Tutakukumbuka hayati.View attachment 2404311
Hiyo ni sababu ya kitoto tu ni kichaka tu cha kujifichia,lakini ukweli ni kuwa viongozi hawana mbinu bora ya kumaliza tatizo hilo la maji??yaani nchi nzima imezungukwa na mito,maziwa,bado msingizie eti ukame?!!Haya nenda MWANZA,ziwa liko km 0 lakini kuna shida ya maji hilo linakuonyesha kuna sehemu kuna shida.Leo mnakuja eti na nishaji jadidifu,kwa kuwapa lawama wananchi kutumia kuni/mkaa wakati sababu iko wazi ni umaskini,kuna mtu anapenda kuvuta moshi?!!bei ya gesi iko juu,NLG,mmeiuza.Shukuruni tu asillimia 80 ya wananchi hawajitambui.Pwani yote imekuwa jangwa malori mengi ya mkaa kila siku yanatoka wilaya za mkoa huo kuuleta Dar halafu mtu anashangaa huu ukame unakuja vipi.
Mbinu ni pesa lipa Kodi pesa ipatikane..Hiyo ni sababu ya kitoto tu ni kichaka tu cha kujifichia,lakini ukweli ni kuwa viongozi hawana mbinu bora ya kumaliza tatizo hilo la maji??yaani nchi nzima imezungukwa na mito,maziwa,bado msingizie eti ukame?!!Haya nenda MWANZA,ziwa liko km 0 lakini kuna shida ya maji hilo linakuonyesha kuna sehemu kuna shida.Leo mnakuja eti na nishaji jadidifu,kwa kuwapa lawama wananchi kutumia kuni/mkaa wakati sababu iko wazi ni umaskini,kuna mtu anapenda kuvuta moshi?!!bei ya gesi iko juu,NLG,mmeiuza.Shukuruni tu asillimia 80 ya wananchi hawajitambui.