Hii ni aibu sasa, US wameingia Iran na kumuokoa rubani wa pili

Malengo yaliyotarajiwa na Marekani katika vita hivi:
1- Kuiangusha Serikali ya Iran = Limefeli
2- Kuchochea Wananchi kuiasi serikali yao = Limefeli
3- Trump Kumchagua kiongozi anayemtaka = Limefeli pia!
4- Kuharibu mpango wa nyuklia wa Iran = Limefeli
5- Kuharibu makombora ya masafa marefu= Limefeli
6- Kudhoofisha nguvu ya jeshi la Iran = Limefeli!
 
Lakini kuna ka namna Russia angepigika kuliko anavyopigika na Ukraine 🤔 nimejaribu kuwaza tu
 
Special force wa USA walikuwa wanapambana na Raia wa kawaida ndio maana wamechomoka., bila hivyo wote wangepakwa mafuta

Mnachekesha bana, yaani wanajeshi wa nchi ya kigeni waje wajichukulie rubani wao Tanzania ndani ndani huko Singida halafu mjitete eti waliweza kwa sababu walikua wanapambana na Wanyaturu huko sio JWTZ.
 
Mnachekesha bana, yaani wanajeshi wa nchi ya kigeni waje wajichukulie rubani wao Tanzania ndani ndani huko Singida halafu mjitete eti waliweza kwa sababu walikua wanapambana na Wanyaturu huko sio JWTZ.
Usitufanye sisi kama hanithi mwenzako. Aliyebahatika kuokolewa ni MMOJA TU hakuna rubani mwingine aliyeokolewa.
Trump JANA kaomba kuwa mateka atakayekamatwa na Iran asiteswe.
Narudia sisi sio wapuuzi wenzako.
 
Iran kwa Air defence system naweza kusema anazo nzuri kushindana na Russia.
2024 S-300 ilifeli kuzuia shambulizi Khomeini airport ila Khordak-15 home Iranian made ADS ilifanya kazi kuliko S-300.
Hapo kwenye Air force ndio mtihani.
Na Iran ina jeshi lenye resilience kubwa mno hususan ukikutana nalo kwa ground battles.
Huwezi kuifananisha Ukraine ambayo haiundi silaha yeyote na Iran.
Hatujui kingejiri nini kama Russia na Iran wangepigana ila Iran is a big fish to catch.
 
Wewe fala Israel imelipua mashule,hospitali zaidi ya 30 hadi sasa,mfumo wa kusafishia maji wa Iran,viwanda vitatu vya kuzalisha chuma vya Iran,haifadhi ya mafuta karibu na kisiwa cha Kharg,benki za Iran zaidi ya 5 ikiwemo benki kuu.
Hizi ndio sehemu za kimkakati unazosemea Israel anapiga??
Au unatuchukulia sisi ni ndezi wenzako!???
 
Kwa sasa modern Air Defense ya Russia ni S-400
 
Yawezekana Iran isingekuwa imewekewa vikwazo vya miaka yote, leo hii ingekuwa habari nyingine!!
Kuna namna ukiwaza nnje ya box , utagundua kabisa hawa jamaa hawana shughuli ndogo , walipo uwawa viongozi wakuu nilijua kwisha kazi , nikama jamaa walijua hilo na kujipanga kivingine jambo ambalo limekua na hatari zaidi ya hata wale viongozi wa kiwepo 🤔
 
Kichwa yako ipo sawa sana wewe mzala..
 
Umechanganyikiwa sio Bure , Israel huyu huyu aliye husika kupiga shule na kuuwa watoto 100 ndiye anayepigana kimkakati !?
 
Usitufanye sisi kama hanithi mwenzako. Aliyebahatika kuokolewa ni MMOJA TU hakuna rubani mwingine aliyeokolewa.
Trump JANA kaomba kuwa mateka atakayekamatwa na Iran asiteswe.
Narudia sisi sio wapuuzi wenzako.

Hehehe makobaz hivi mbona mna ushoga kiasi hiki, juzi mlisema Netanyahu ameuawa, jamaa bado yupo anatembeza kipigo kwenu, rubani wa pili ametangazwa hadi na Trump mwenyewe, acha kutegemea taarifa za madrass, tumia runinga za kimataifa, hata Aljazeera yenu makobaz imetngaza ‘We got him’: Trump confirms rescue of missing US officer from Iran
 

we got him, Happy Easter to all Christians - D.Trump!

 
Usitufanye sisi kama hanithi mwenzako. Aliyebahatika kuokolewa ni MMOJA TU hakuna rubani mwingine aliyeokolewa.
Trump JANA kaomba kuwa mateka atakayekamatwa na Iran asiteswe.
Narudia sisi sio wapuuz

wakati wewe ukitukana na kutoka mapovu, watoto wa mullahs islamic revolution guard irgc hawa huku full kujiachia no hijab nothing, wakila bata huyo alikuwa model USA wakati islamic republic of irani wanatesa watoto wa wengine na kuwapiga viboko kwa mavazi tu, wamedakwa and deported from USA ...


View: https://x.com/NiloofarMM/status/2040454229790540005
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…