Hakuna rubani aliyeokolewa Iran wameshakanusha. Na wameachia picha na video za helicopters za USA na ndege yao zilizolipuliwa na kuangukia Iran.Hao waliofanya operation ni seal team nini mbona kama movie
Seriously US - Israel? Kwa kulipua makazi ya watu, shule hospitali, ambulance na kufanya mashambulio bila pre warning press? Acha basi kuwa bias pengine huna taarifa au source Yako ni X tweet
Mimi nilichowaza ni inawezakuwa irani wameishapata hao marubani either wakiwa hai au wamekufa. Ila wameamua tu kukaa kimya ili marekani watume helikopta zaidi na wanajeshi wao kuwatafuta then hizo helikopta wazitungue😂Hakuna kitu kama hicho. Tuletee ushahidi hapa hao marubani wamekufa au wamejificha maporini huko. Marekani inajitahidi kutoka jahazi ikifahamika Trump atafukuzwa white house siku hiyo hiyo
China na North Korea naweza ungana na ww wanaweza wakawa wachumba but duniani hapa katika karne hii kwenye swala la medali za kivita Russia is another level hata USA analijua hilo.Kuna namna nimefiriki yawezekana hata urusi, China na North Korea ni wachumba tu kwa Iran katika medali ya kivita🤔
Nilifiria tu lakiniChina na North Korea naweza ungana na ww wanaweza wakawa wachumba but duniani hapa katika karne hii kwenye swala la medali za kivita Russia is another level hata USA analijua hilo.
Jitahidi uwe na akilikwako
Ndugu mbona unapwaya?
Vita anayopigana Urusi na Ukraine hakuna nchi yoyote hapa duniani inaweza kupigana na ikasavavivu hata Kwa mwezi mmoja.
Huwezi ukapiganabna all collective west (NATO) na akabako salama kwa hata mwezi TU.
Sio USA wala china wanaoweza kusimama peke Yao dhidi ya nguvu yote hiyo na wakatoboa.
Tena vita ya moto na uchumi.
Hayo mafanikio kidogo ya Iran nyuma Yuko Urusi na china.
Hoja yako ni nini hapa?Wewe toa ushahidi kuwa hawajaokolewa
Toa ushahidi ndege imetunguliwa.
Ndege ikitunguliwa inaungua yote.
Ile ndege ni malfunction imetokea
Lete ushahidi acha kumbwela mbwela hapa.Bahati mnaruhusiwa kwenye dini yenu kutumia uwongo....
Wee kayngay mgalatia uchwara.Lete ushahidi acha kumbwela mbwela hapa.
You no nothing** just search Iran red crescent data data zote zipo hadi familia zilizohamishwa makazi maalum tehranNiwekee source hapa wamelipua makaz ya watu lini?.
Wao wanalenga Viongozi. Na sio Raia wa kawaida. Wakat Iran inalenga Raia wa kawaida na makaz yao.
You no nothing** just search Iran red crescent data data zote zipo hadi familia zilizohamishwa makazi maalum tehran
Yaani kama movie vile, marubani wote wawili wameokolewa ndani ya ardhi ya Iran, hainingii akilini kwamba makobaz wamechapika kiasi cha kushindwa hata kujishikia hao marubani wawili. Hata hivyo Marekani mbona walitumia ndege ya F-15 ambayo ni non-stealth mode, kwa sasa waendelee kupiga kwa F-35 mpaka Iran itakapokua shamba ndio waanze kuingiza mindege ya hali ya chini kama hiyo.
=======================
An American airman who went missing after Iran shot down an F-15 fighter jet has been rescued after a “heavy firefight”, a US government official told Al Jazeera.
Two crew members had ejected from the plane after Tehran’s forces downed it on Friday, one of whom was located shortly after the crash.
The ensuing manhunt for the missing pilot triggered a race between Iranian and American forces as the Islamic Republic offered a $60,000 bounty for their capture.
NETANYAHU AKBAR NETANYAHU AKBAR NETANYAHU AKBAR NETANYAHU AKBAR NETANYAHU AKBAR NETANYAHU AKBAR NETANYAHU AKBAR NETANYAHU AKBAR NETANYAHU AKBAR NETANYAHU AKBAR NETANYAHU AKBAR NETANYAHU AKBAR NETANYAHU AKBAR NETANYAHU AKBARHiyo ndege ya USA ikiwa na vifaa ina gharimU takribani usd 120,000,000 na ni moja ya ndege inayo aminiwa kwa usalama wake ikiwa kwenye medali za kivita; LAKINI imedunguliwa kwa Drone ya Iran yenye dhamani ya takribani usd 80,000 to 100,000; nani mjanja hapo?
Mpuuzi wa Kibera katika moja na mbili..Unasema unafuatilia halafu hujui kama wakati vita inaanza tu kesho yake Israel na mme wake USA wakapiga shule ya watoto Chekechea watoto zaid ya 160 wakafariki juzi hapa wamepiga daraja kubwa kuliko yote Asia halafu umeshiba miraa unakuja kubwatuka eti Israel inapiga target za kijeshi,shuleni ni target za kijeshi?..Halafu nilivyokuona akili huna unavyosema Iran anapiga piga tu hovyo hapigi miundombinu ya kijeshi,haya tuambie zile kambi 27 za USA, ile rada kubwa na ya gharama kuliko zote Asia sio target za kijeshi!?au mnataka mpk mpigwe hapo kibera na kombora ndio mseme anapiga target za kijeshi..Mna mahaba ya kipuuzi sana aiseeUtakua fala kama unafuatilia na hauelewi, usichokijua Israel wana makombora kama Jericho-3 advanced IRBM/ICBM na uwezo wa kuyatuma blindly kuelekea Iran bila kujali yatapiga wapi kama namna Iran wanavyofanya kuelekeza Israel kigaidi gaidi kama ilivyo dini yenu, ila Israel hawana ugomvi na Wairan, nia yao ni dhidi ya uongozi tu.
Israel huyu huyu ambae alikua anaua wototo Gaza pumbavu kabisaUtakua fala kama unafuatilia na hauelewi, usichokijua Israel wana makombora kama Jericho-3 advanced IRBM/ICBM na uwezo wa kuyatuma blindly kuelekea Iran bila kujali yatapiga wapi kama namna Iran wanavyofanya kuelekeza Israel kigaidi gaidi kama ilivyo dini yenu, ila Israel hawana ugomvi na Wairan, nia yao ni dhidi ya uongozi tu.
Hata mashoga unaita madume, watu wanakuulia viongozi wako kwa kujichagulia kama simba anavyochagua nyumbu halafu unasema Iran imeweka heshima! Hata ujerumani iliyodhoofiswa na mataifa zaidi ya 10 kupigwa enzi za WW2, kiongozi wao Hitler hakuuliwa kizembe.Iran kaweka heshima kubwa duniani, hakuna aliyetegemea Iran atachangiwa na Israel na US na kuonyesha kujitetea kwa kiasi kikubwa hivyo, Hakika Iran ni taifa Dume👏
Hayo ni malengo yako wala sio ya marekani.Malengo yaliyotarajiwa na Marekani katika vita hivi:
1- Kuiangusha Serikali ya Iran = Limefeli
2- Kuchochea Wananchi kuiasi serikali yao = Limefeli
3- Trump Kumchagua kiongozi anayemtaka = Limefeli pia!
4- Kuharibu mpango wa nyuklia wa Iran = Limefeli
5- Kuharibu makombora ya masafa marefu= Limefeli
6- Kudhoofisha nguvu ya jeshi la Iran = Limefeli!