Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,480
- 7,443
- Thread starter
-
- #21
Nasikia kuna fununu, mchina kujenga Sgr,Isaka to Mwanza.Bado sijasikia kubwa aliloafikiana kuhusu maslahi ya nchi. Nadhani ametoa hiyo hela ndogo kama sehemu ya kupunguza joto la sura za kutaka msaada wa ujenzi wa SGR na SG. Ni makubaliano gani yenye tija kaingia kwenye hiyo safari yake? Maana China ya sasa sio ya enzi za Mao, japo awamu hii wanadhani China hii ni ya kijamaa.
Yaani wewe pumbafu la mapumbafuChadema ndio maana Mimi niliapa kuwa sikubali mshinde niko tayari hata kukimbia na box la kura msaada ni msaada huwezi mpangia tajiri akupe nini hivi nyie chadema mlishatoa hata mlo mmoja kulisha walemavu?
Leo umesema wazi uliyofanya Oktoba.Chadema ndio maana Mimi niliapa kuwa sikubali mshinde niko tayari hata kukimbia na box la kura msaada ni msaada huwezi mpangia tajiri akupe nini hivi nyie chadema mlishatoa hata mlo mmoja kulisha walemavu?
Huyu jamaa hata mimi amenishangaza.Yaani wewe pumbafu la mapumbafu
Nasikia kuna fununu, mchina kujenga Sgr,Isaka to Mwanza.
Dogo tulia soon utakuwa unatoka Dar mpaka Mza kwa treni la umeme.Bado sijasikia kubwa aliloafikiana kuhusu maslahi ya nchi. Nadhani ametoa hiyo hela ndogo kama sehemu ya kupunguza joto la sura za kutaka msaada wa ujenzi wa SGR na SG. Ni makubaliano gani yenye tija kaingia kwenye hiyo safari yake? Maana China ya sasa sio ya enzi za Mao, japo awamu hii wanadhani China hii ni ya kijamaa.
Kwa umeme huu huu unaokatika kila mara? Dar-Mwanza hakuna tatizo la usafiri.Dogo tulia soon utakuwa unatoka Dar mpaka Mza kwa treni la umeme.
JNHP itakuwa imekamilika,unaposema hakuna tatizo la usafiri una maana gani? Mbona unatia aibu?Kwa umeme huu huu unaokatika kila mara? Dar-Mwanza hakuna tatizo la usafiri.
Misaada wanatowaga wazungu sio wachina ni wabahili kweli kweli. Mchina anatoaga mikopo sio misaadaJamani imefikia wakati kama watanzania tunatakiwa tubadilike.
Kupokea msaada wa milioni 380 ni aibu kwa taifa tajiri kama hili.
Milioni 380 iliyotolewa na waziri wa Mambo ya nje wa China ni fedheha kwetu.
Hii pesa ilipaswa kuchangwa na wafanyabiashara wa dhahabu Katoro na kuikabidhi kwa Veta Chato, sio kutolewa kama msaada na waziri wa taifa kubwa kama China.
Tusipende kudhalilishwa kwa misaada midogo kama hii. Hata kama unatakiwa usichague cha kupewa,lakini inatakiwa tufikie hatua tuchague.
My take; Tuwe makini sana juu ya misaada kama hii,ikumbukwe huko nyuma babu yetu Sultan Mangungo alishawahi kubugi na ikawa fedheha kwa watanzania.
Ahahahaaaa [emoji3][emoji23][emoji1787][emoji85]. Kumbe ndiyo mliokimbia na mabox . Wachawi wa usiku hujitaja mchanaChadema ndio maana Mimi niliapa kuwa sikubali mshinde niko tayari hata kukimbia na box la kura msaada ni msaada huwezi mpangia tajiri akupe nini hivi nyie chadema mlishatoa hata mlo mmoja kulisha walemavu?
We unaonaje bro?Hio pesa na kujengewa choo ipi ni msaada udhalilishao
Usiwe lofa..nyie ndo malofa aliyewasema RIP Ben.Chadema ndio maana Mimi niliapa kuwa sikubali mshinde niko tayari hata kukimbia na box la kura msaada ni msaada huwezi mpangia tajiri akupe nini hivi nyie chadema mlishatoa hata mlo mmoja kulisha walemavu?
JNHP itakuwa imekamilika,unaposema hakuna tatizo la usafiri una maana gani? Mbona unatia aibu?
Dogo mbona unatia aibu vijana wako wa ufipa? Umesahau wewe ni kamanda mkuu? Sababu kuna mabasi kibao ndio watu wa Mza hawahitaji gharama nafuu? Hujui cement kwa sasa ni karibu elfu 20 kwa mikoa ya kanda ya ziwa? Hujui treni itapunguza gharama za usafiri na kupoza bei za bidhaa?JNHP itakuwa imekamilika, una uhakika gani wakati ni pesa ya mkopo? Kuna shida gani ya usafiri kati ya Mwanza, maana mabasi ya kumwaga.
Dogo mbona unatia aibu vijana wako wa ufipa? Umesahau wewe ni kamanda mkuu? Sababu kuna mabasi kibao ndio watu wa Mza hawahitaji gharama nafuu? Hujui cement kwa sasa ni karibu elfu 20 kwa mikoa ya kanda ya ziwa? Hujui treni itapunguza gharama za usafiri na kupoza bei za bidhaa?