Hii ni Brazil tusiyoonyeshwa mtandaoni

Usiwe mshamba hata marekani Kuna sehemu inaitwA TEXAS ambapo SIO Houston au Dallas kila nchi ina Kijiji au vijiji check movie ya the harder they fall kumbe ujatembea eeenh !!!!
 
Kijiografia Brazil ni nchi kubwa lakini siyo tajiri kiasi cha kutengeneza barabara nzuri kila eneo.
 
Unashangaa barabara za Brazil, ulishaona za Urusi ya kati? Urusi wamejenga sana Magharibi lakini ukienda katikati pale barabara ni za hovyo sana, ndiyo maana wanasafiri kwa kutumia ndege kuliko magari; tena hutumia ndege za kizamani.
 
Ndege wanapanda wanawake, wanaume wanapanda popo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…