Hii ni Brazil tusiyoonyeshwa mtandaoni

Hii ni Brazil tusiyoonyeshwa mtandaoni

Usiwe mshamba hata marekani Kuna sehemu inaitwA TEXAS ambapo SIO Houston au Dallas kila nchi ina Kijiji au vijiji check movie ya the harder they fall kumbe ujatembea eeenh !!!!
 
Kijiografia Brazil ni nchi kubwa lakini siyo tajiri kiasi cha kutengeneza barabara nzuri kila eneo.
 
Ndo maana mimi sio muumini wa hizi takwimu za WB na IMF kuhusu hali ya maendeleo. Nchi tajiri kama Brazil kuwa na barabara kama vile DRC inashangaza.

Unashangaa barabara za Brazil, ulishaona za Urusi ya kati? Urusi wamejenga sana Magharibi lakini ukienda katikati pale barabara ni za hovyo sana, ndiyo maana wanasafiri kwa kutumia ndege kuliko magari; tena hutumia ndege za kizamani.
 
Ndege wanapanda wanawake, wanaume wanapanda popo
 
Attachments

  • Screenshot_2024-11-16-00-57-26-689.jpg
    Screenshot_2024-11-16-00-57-26-689.jpg
    107.4 KB · Views: 2
Back
Top Bottom