Mi mi
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 2,748
- 5,112
Dunia ina nchi ngapi ?Brazil ipo top 100 ya nchi tajiri duniani. Ni member muhimu wa BRICS
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dunia ina nchi ngapi ?Brazil ipo top 100 ya nchi tajiri duniani. Ni member muhimu wa BRICS
Yeh kama belgrade na belfastDunia nzima hakuna taifa linalokosa kuwa na sehemu korofi , mitaa michafu na yakihuni nk.
Brazili ni nchi kubwa sana hakuna nchi inafikia kwa afrika kwa ukubwa na inamapori mengiNdo maana mimi sio muumini wa hizi takwimu za WB na IMF kuhusu hali ya maendeleo. Nchi tajiri kama Brazil kuwa na barabara kama vile DRC inashangaza.
![]()
993.205 Aufrufe · 13.816 Reaktionen | Ônibus descendo ladeira lisa. #carros #estrada #4x4 | Inverno na Transamazônica
Ônibus descendo ladeira lisa. #carros #estrada #4x4.www.facebook.com
Mkuu Brazil ina GDP ya $1.2 trion ni nchi masikini?Wewe nani alikwambia brazil ni matajiri?
Uchumi wa Brazil unakaribiana na ule wa south korea sasa utaitaje masikini.Wewe mtu umenichekesha sana, eti nchi tajiri kama Brazili!!!!.
Disgusting.
Takwimu gani za WB na IMF? Ziweke hapa tuzichambue.Ndo maana mimi sio muumini wa hizi takwimu za WB na IMF kuhusu hali ya maendeleo. Nchi tajiri kama Brazil kuwa na barabara kama vile DRC inashangaza.
![]()
993.205 Aufrufe · 13.816 Reaktionen | Ônibus descendo ladeira lisa. #carros #estrada #4x4 | Inverno na Transamazônica
Ônibus descendo ladeira lisa. #carros #estrada #4x4.www.facebook.com
Mijitu ya ccm haijawahi kuwa Na akili. Baba jitu zima anajiita MamaSamia2025 unategemea nini?Wewe nani alikwambia brazil ni matajiri?
Duniani kuna ngapi kwa ujumla?! Ukuteduniani kuna nchi 157, kati ya hizo nchi 57 zipo Afrika Unaona?Brazil ipo top 100 ya nchi tajiri duniani. Ni member muhimu wa BRICS
Acha kubisha kipumbavu.Duniani kuna ngapi kwa ujumla?! Ukuteduniani kuna nchi 157, kati ya hizo nchi 57 zipo Afrika Unaona?
Tukifanikiwa hilo bhasi mwaka huo huo pia Tutabeba kombe la dunia 😇
Brazili ilishatoa msaada Tanzania kama vipi na sisi Tanzania tukatoe msaada kwa hizo barabara zikae sawa 🤔
Unashangaa barabara za Brazil, ulishaona za Urusi ya kati? Urusi wamejenga sana Magharibi lakini ukienda katikati pale barabara ni za hovyo sana, ndiyo maana wanasafiri kwa kutumia ndege kuliko magari; tena hutumia ndege za kizamani.Ndo maana mimi sio muumini wa hizi takwimu za WB na IMF kuhusu hali ya maendeleo. Nchi tajiri kama Brazil kuwa na barabara kama vile DRC inashangaza.
![]()
993.205 Aufrufe · 13.816 Reaktionen | Ônibus descendo ladeira lisa. #carros #estrada #4x4 | Inverno na Transamazônica
Ônibus descendo ladeira lisa. #carros #estrada #4x4.www.facebook.com
Ndege wanapanda wanawake, wanaume wanapanda popoUnashangaa barabara za Brazil, ulishaona za Urusi ya kati? Urusi wamejenga sana Magharibi lakini ukienda katikati pale barabara ni za hovyo sana, ndiyo maana wanasafiri kwa kutumia ndege kuliko magari; tena hutumia ndege za kizamani.
Humu watu wengi wajingaUchumi wa Brazil unakaribiana na ule wa south korea sasa utaitaje masikini.
Brazil ina uchumi mkubwa kuliko italy,canada, south korea,ni ya nane kwa GDP dunianiWewe nani alikwambia brazil ni matajiri?
Matajiri wa mbukunyu,kule bei cheeWewe nani alikwambia brazil ni matajiri?
brazil ni nchi tajiri japo umaskini ni mwingiWewe nani alikwambia brazil ni matajiri?
Unakaribiana???Uchumi wa Brazil unakaribiana na ule wa south korea sasa utaitaje masikini.