Hii ni dhahiri kuwa viongozi na wanachama wa CHADEMA hawana busara, huwezi kumuombea kifo mwenzako

Hii ni dhahiri kuwa viongozi na wanachama wa CHADEMA hawana busara, huwezi kumuombea kifo mwenzako

Lema anaongozwa na mihemko sana, vyema viongozi wetu wakatumia Hekima na Busara

Kiongozi yoyote asiye na hekma wala busara huyó ni MPUMBAVU
 
Hayo sio maombi,Huo ni unabii,Ni jambo ambalo lipo mbele yake,lazima litokee na kama hatamtafuta Lema kujua Mungu ana ujumbe gani basi ajiandae

Hata Sabaya aliambiwa akadhani utani ,Mwendazake ndio aliambiwa mapema zaidi akashupaza shingo na kuamuru afungwe,yakamkuta yakumkuta
Makenge ya kijani hayo kusikia kwao mpaka yawakute.
MaCCM ni mapumbavu kabisa kabisa..!
 
Chadema ni watu na viongozi wao ni akina Lema.
Acha upumbav,Lema ana wadhifa gani CHADEMA?
Hayo anayozungumza ni yake binafsi yake,anao uhuru Huo!CDM ina utaratibu wake wa kuwasiliana na Umma!
 
hiyo kusema huyu ni mchagga mwenzako umeulizwa? kuendekeza ukabila ni ushenzi na upumbavu.keep it
Kwa hiyo unatakaje? I am proud of my roots..

Kama unaona uchungu sana mimi kutaja Uchaga, ukajifungue tu sasa...

Bando langu bado unipangie namna ya kuandika???

Grow up
 
Ukiwa serious kuunda serikali. Kama huna dola inabidi ujaribu kushinda nchi kutumia uadilifu (moral higher ground), uaminifu, waguse wote uaminike na kabila, dini watu wote, (Inclusivity).

Mandela, Weusi wa USA, Obama walitumia huo mkakati. Waliungana na wenzao weupe wengi kushinda chaguzi, Katiba mpya, democracy.

Kutabiria watu vifo, kufurahia mateso, kuwagawanya watu is short sightedtness, kutoona mbali, sio mkakati wa ushindi, kukubalika.
 
Hayo sio maombi,Huo ni unabii,Ni jambo ambalo lipo mbele yake,lazima litokee na kama hatamtafuta Lema kujua Mungu ana ujumbe gani basi ajiandae

Hata Sabaya aliambiwa akadhani utani ,Mwendazake ndio aliambiwa mapema zaidi akashupaza shingo na kuamuru afungwe,yakamkuta yakumkuta
Ni nani alitabili kuwa lema atakimbia nchi
Je yeye anajitabilia vipi? nae atwanbie utabili wake mwenyewe.
 
Back
Top Bottom