Hii ni idadi ndogo ya bidhaa toka Kenya na Tanzania hatuwezi kutengeneza

Hiyo blueband iliibwa Tanzania tanbond....
Sio kweli, Blue Band, OMO, Sunlight, Lifebuoy, Vaseline n.k ni bidhaa za kampuni kubwa sana na maarufu UNILEVER

Ila wakiamua kumanufacture Kenya ili wasupply Afrika Mashariki. Waliichagua Kenya mapema kwasababu ya Lugha...Wakenya wanazungumza sana kiingereza.

Pia milango ya uwekezaji ni mirahisi kwa Kenya.

 
Zamani hizo pipi kali na big G zilikuwa zinatengenezwa hapa Tz. Nadhani chini ya marehemu Mengi alichukua franchise Uniliver. Sijui kilitokea nini uniliver Mikocheni ikafa...imebaki huko Irings kwenye Chai nadhani.
Una uhakika mkuu maana Big G niza kitsmbo sana tangu 80s zipo dukani!
 
Una uhakika mkuu maana Big G niza kitsmbo sana tangu 80s zipo dukani!
Mkuu, Marehemu Mengi alikuwa na viwanda vya kuzalisha bidhaa mbali mbali kama sabuni za kuogea, kalamu, mafuta ya kujipaka, big G, pipi, dawa za meno n.k... na bidhaa nyingi ndio zilikuwa chini ya chapa ya Uniliver.
 
#6 unadanganya umma. Namba 8 sidhani hata kama inatumika kwa wingi hapa. Kwasasa kuna Klee soft na nyingine nyingi tu zinatengenezwa hapa nchini. Na bidhaa nyingi za Kenya tunaaminishwa kuwa ni nzuri na hatuwezi kupata mbada wake ili tuendelee kuwategemea. Inabidi tujue hata cocacola na pepsi ni kitu kilekile isipokuwa mchabganyiko wake ndio tofauti. Mirinda nyeusi na fanta blackarent ni kitu kimoja. 7up na sprite, mirinda orange na fanta orange ni kilekile. Ladha itatofautiana kiasi na hapa ndipo tunaita kimoja og kingine fake.
 
Wameua viwanda ...wakahamishia huko...

Wakenya hawakuiba ila wamepewa dili na wenye meno...kuua kiwanda Tz.. na kuvifungulia Kenya..share zinatembea na pesa inaingia mifukoni ....

Kwa hili hata" Bwana yule " yumo...ana viwanda Kenya..
 
Sindiyo wametuamsha.
 
Hiyo blueband iliibwa Tanzania tanbond....
Mkuu umetisha sanaa

Lkn pia sio kama ni sahihi kuanza kuchuana na hawa binadamu nafikiri ni vyema sasa matajiri wetu wawekeze ktk vitu kama ivi mfano izo bidhaa za blue band nafikiri ni kitu ambacho tunaweza
 
Mo kaiga sabuni za jamaa, ziko poa, halafu chumvi tuna neel salt kama sijakosea alikuwa anazitangaza marehemu mzee majuto
Hiyo NeelSalt tulikuwa na msiba wapishi waliikataa wakatoa sababu zao za ubora.
Ikabidi tukatafute hata chumvi ya Wakenya.

Everyday is Saturday................................๐Ÿ˜Ž
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ