Ncha Kali
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 15,418
- 29,432
Yale mambo yetu[emoji39][emoji39][emoji39]
Sijui ndo kuzeeka huku, nakuwa nyuma vitu vingi japo sio wa mwisho... inatumikaje mkuu?
Yale mambo yetu[emoji39][emoji39][emoji39]
Umesema kitu cha ukweli, kwa tanzania brand inayofanya vizuru sana ni konyagi! Hii itabaki kuwa juu east africa yoote!Viwanda vya Kenya ni kwa hisani ya mkoloni,ukinywa Milo kutoka kenya inayouzwa Tanzania na inayouzwa EU tunayouziwa bado ovyo. Ukija kwenye mngaro wa viatu na siagi kiwi na blueband ya kenya itabaki juu milele.Tanbondi yetu itasubiri sana. TZ KONYAGI Iitabaki juu milele.
wewe mkongwe.nakumbuka bado wadogo sana.hayo mafuta ilikua yapo kwenye kopo la bat.kwa vile napenda kusoma nikawa nasoma Voil.ilikua tunapimia mchele lile kopo la kilo moja.tulikua tunapikia chapatTanbond ya mwanza ilikufa miaka mingi(voil) hata hivyo ilikuwa hafiki Kwa blue band
Hata mi nilikuwa najiuliza ni big G zipi zilizokuwa zinatengenezwa hapa tz?Una uhakika mkuu maana Big G niza kitsmbo sana tangu 80s zipo dukani!
MImi nilijua unakuja na mbadala wenye tija pengine kuzalisha wenyewe kumbe kugonga hodi tena?😛Hakuna bidhaa hapo muhimu kwa maisha yetu ya kila siku. Tunaweza kaa bila hizo bidhaa kwa muda na tukiwaambia Wachina wanaleta instantly!
Tuna Mr. Kuku anazalisha kuku bora kabisa kutoka Tanzania...
Tuna Asas na Tanga fresh wanazalisha mazuri vizuri kabisa...
Tunatengeneza vibirit bora kabisa...
Umesahau ile RIZLA ambayo vijana wanaitumia kusokotea bangi pia inatoka KenyaSitaki kupoteza muda
1. Blueband
2. Pipi kali (tropical mint)
3. PK
4. Big G (original)
5. Gomba (bigijii) bidhaa za kampuni ya K sweet)
6 . Chumvi
7. Jamaa (sabuni)
8. Omo
9. Kiwi (rangi ya viatu original)
10. Dai n.k
Ni bidhaa nyingi sana tunapata toka huko.
Kama tukilipa kisasi cha mahindi yetu tungewazidi kete lakini jambo la kushangaza zikitengenezwa hapa Tanzania zinakuwa fake au hazina ubora kama hizi.
Ni nani asiekula pipi kali ya tropical mint?
Blueband tunatengeneza wapi?
Tanzania inatengeneza bigijii lakini hakuna kama za Kenya (kama ipo ya TZ nitajieni)
Siku hizi kuna kiwi za kangaroo toka Uchina lakini Kiwi toka Kenya itabaki kuwa juu tu toka zamani.
Natamani kutaja umuhimu wa kila bidhaa hapo lakini sitamaliza. Taja bidhaa ambayo sio muhimu kwa Tanzania au Tanzania inatengeneza nzuri zaidi.
Na kuna soko usipime , kwetu Tandika kijana yuko radhi asiwe na hela lakini awe na RizlaPa1 na misitu tuliyonayo tumeshindwa kutengeneza hapa nyumbani 🤔
Blueband ni ya siku nyingi sana kabla ya tanbond na nafikiri hiyo kampuni ni sehemu ya P&G,moja ya kampuni kubwa sana duniani(Proctor & Gamble),tujitahidi kuzalisha vyetu lakini sikubaliani kufanya substitute ya kutoka China,its worse.Afadhali vya Kenya ni wenzetu na tunachokula tuna uhakika wanakula hicho hicho,mchina anaweza kutengeneza kwa ajili ya Tanzania tu.Hiyo blueband iliibwa Tanzania tanbond.
SahihiSio kweli, Blue Band, OMO, Sunlight, Lifebuoy, Vaseline n.k ni bidhaa za kampuni kubwa sana na maarufu UNILEVER
Ila wakiamua kumanufacture Kenya ili wasupply Afrika Mashariki. Waliichagua Kenya mapema kwasababu ya Lugha...Wakenya wanazungumza sana kiingereza.
Pia milango ya uwekezaji ni mirahisi kwa Kenya.
View attachment 1719755
Kulikuwa na SU ndani yake humoTanbond haiwezi kurudi kweli?
mkuu chimvi inatoka lindi bagamoyo na uvinza ipo kibaoSitaki kupoteza muda
1. Blueband
2. Pipi kali (tropical mint)
3. PK
4. Big G (original)
5. Gomba (bigijii) bidhaa za kampuni ya K sweet)
6 . Chumvi
7. Jamaa (sabuni)
8. Omo
9. Kiwi (rangi ya viatu original)
10. Dai n.k
Ni bidhaa nyingi sana tunapata toka huko.
Kama tukilipa kisasi cha mahindi yetu tungewazidi kete lakini jambo la kushangaza zikitengenezwa hapa Tanzania zinakuwa fake au hazina ubora kama hizi.
Ni nani asiekula pipi kali ya tropical mint?
Blueband tunatengeneza wapi?
Tanzania inatengeneza bigijii lakini hakuna kama za Kenya (kama ipo ya TZ nitajieni)
Siku hizi kuna kiwi za kangaroo toka Uchina lakini Kiwi toka Kenya itabaki kuwa juu tu toka zamani.
Natamani kutaja umuhimu wa kila bidhaa hapo lakini sitamaliza. Taja bidhaa ambayo sio muhimu kwa Tanzania au Tanzania inatengeneza nzuri zaidi.
Chukua supu hapo mkuu nalipa kwa JF pay.Blueband ni ya siku nyingi sana kabla ya tanbond na nafikiri hiyo kampuni ni sehemu ya P&G,moja ya kampuni kubwa sana duniani(Proctor & Gamble),tujitahidi kuzalisha vyetu lakini sikubaliani kufanya substitute ya kutoka China,its worse.Afadhali vya Kenya ni wenzetu na tunachokula tuna uhakika wanakula hicho hicho,mchina anaweza kutengeneza kwa ajili ya Tanzania tu.
akikosa ananunua batook amachakata ile karatasi yakeNa kuna soko usipime , kwetu Tandika kijana yuko radhi asiwe na hela lakini awe na Rizla
wengine wanatumia biblia zile za kizamani , karatasi yake ni kama Rizlaakikosa ananunua batook amachakata ile karatasi yake
oooh lord!wengine wanatumia biblia zile za kizamani , karatasi yake ni kama Rizla