hao wapishi walikua wanatumika na mabepari wa kenya hahaaHiyo NeelSalt tulikuwa na msiba wapishi waliikataa wakatoa sababu zao za ubora.
Ikabidi tukatafute hata chumvi ya Wakenya.
Everyday is Saturday................................😎
Binafsi nilijua chumvi ni chumvi, kumbe zina ubora wake. Nafikiria sasa huenda wale wapishi ni mawakala wa mabeberu! 😂hao wapishi walikua wanatumika na mabepari wa kenya hahaa
Tuwapige vita mkuu, au yaweza kua ni wajaruo tu wa huko kenya wakekuja kiharakati hapa nchini.. sisi tuna chumvi yetu ya mawe kutoka Tanga bana, haya machumvi ya unga tunaanza kusaga soon teh tehBinafsi nilijua chumvi ni chumvi, kumbe zina ubora wake. Nafikiria sasa huenda wale wapishi ni mawakala wa mabeberu! [emoji23]
Everyday is Saturday................................😎
Hoja imeungwa mkono!Tuwapige vita mkuu, au yaweza kua ni wajaruo tu wa huko kenya wakekuja kiharakati hapa nchini.. sisi tuna chumvi yetu ya mawe kutoka Tanga bana, haya machumvi ya unga tunaanza kusaga soon teh teh
ile big g ya kulia gomba.hv kwann huwa wanaitumia? aina za gomba kuna colombo,giza,hedaru,lain sanaMkuu unachoongea ndicho nachojua. Chukua bidhaa ya Kenya yoyote linganisha na ya hapa hatuwapati milele. Mf. Jamaa, na pipi kali au big jii tz tunavyo lakini sio kama za Kenya.
1. Matairi ya magari... KenyaSitaki kupoteza muda
1. Blueband
2. Pipi kali (tropical mint)
3. PK
4. Big G (original)
5. Gomba (bigijii) bidhaa za kampuni ya K sweet)
6 . Chumvi
7. Jamaa (sabuni)
8. Omo
9. Kiwi (rangi ya viatu original)
10. Dai n.k
Ni bidhaa nyingi sana tunapata toka huko.
Kama tukilipa kisasi cha mahindi yetu tungewazidi kete lakini jambo la kushangaza zikitengenezwa hapa Tanzania zinakuwa fake au hazina ubora kama hizi.
Ni nani asiekula pipi kali ya tropical mint?
Blueband tunatengeneza wapi?
Tanzania inatengeneza bigijii lakini hakuna kama za Kenya (kama ipo ya TZ nitajieni)
Siku hizi kuna kiwi za kangaroo toka Uchina lakini Kiwi toka Kenya itabaki kuwa juu tu toka zamani.
Natamani kutaja umuhimu wa kila bidhaa hapo lakini sitamaliza. Taja bidhaa ambayo sio muhimu kwa Tanzania au Tanzania inatengeneza nzuri zaidi.
Sitaki kupoteza muda

Hivi hizi panadol extra (panadol za kenya kweli?)
Nachungulia hoja yako kwa umuhimu wa dawa hii inapotumiwa katika njia mbadala[emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851]
Yale mambo yetu😋😋😋Njia mbadala, ipi tena mkuu?
sijifariji huo ndio ukweliJifariji tu
Hizo bidhaa zinaitwa perishables, yaani haziathiri kabisa maisha ya Mtanzania aliyepo Kinegembasi Iringa, ama aliyepo Mazangiri kule Mkalama Singida. Nyingi ya hizo zinatengenezwa hapa kwetu na akina Mo Dewji na wahindi wenzake. Ivori (ASAS) Iringa wanatengeneza pipi za aina nyingi tu ikiwemo pipikifua.Sitaki kupoteza muda