Hii ni idadi ndogo ya bidhaa toka Kenya na Tanzania hatuwezi kutengeneza

Walitoa sababu gani?
Walidai haikolei na kikubwa kwao chakula kinakuwa na mchanga, kwa experience yao, hatukuwa na jinsi zaidi ya kurudisha dukani na kutafuta ya wakenya.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Kleesoft bado sana kwenye ushindani na jamaa,Neel wanapambana lakin bado chumvi toka Kenya ina soko kubwa TZ,na kama tukikataa bidhaa hizo za Tanzania zitapanda bei sana
 
Number 6, 7, 8 &10 zipo kwa wingi tanzania kuliko kwa jirani
 
Tatizo kubwa la Afrika ni kuwa na migogoro ya kijinga na kuwa ya kitaifa Nchi nyingi ili ziendelee zinategemeana na Taifa letu limekumbwa na wasomi makaratasi wao wanasapoti migogoro kila kukicha Tanzania ni Nchi iliyo eneo sahihi kwa maendeleo yetu ila tupo busy na maugomvi ya kijinga Nchi inabaki pale pale...
 
Mbona kelele nyingi kama mahindi yenu yana ubora mtafute masoko mapya, na kama bidhaa zao hazina ubora mamlaka husika itoe neno.
 
Hivi mkuu unahakika hasa tukiamua kenya watafua dafu?hebu tembelea njombe huko tu alafu lete taalifa hapa & je hizo bidhaa hapo ndio zinaendesha maisha ya kila siku ya binadamu?huko walikochukua mahindi wakigaili kuwauzia alafu uganda ikagoma na wabongo tukagoma unazani wakenya watapishana chooni?
 
Lissu
 
Ukijua kwanini tunasoma historia, utajua kwanini niesema tulikuwa
Hiyo historia kwenye pato inakuingizia sh ngap bwashee? Ww unasoma wengine wanaingia sokoni,huoni kama inachekesha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…