Hii ni idadi ndogo ya bidhaa toka Kenya na Tanzania hatuwezi kutengeneza

Umesema kitu cha ukweli, kwa tanzania brand inayofanya vizuru sana ni konyagi! Hii itabaki kuwa juu east africa yoote!
 
Tanbond ya mwanza ilikufa miaka mingi(voil) hata hivyo ilikuwa hafiki Kwa blue band
wewe mkongwe.nakumbuka bado wadogo sana.hayo mafuta ilikua yapo kwenye kopo la bat.kwa vile napenda kusoma nikawa nasoma Voil.ilikua tunapimia mchele lile kopo la kilo moja.tulikua tunapikia chapat
 
Zamani hizo pipi kali na big G zilikuwa zinatengenezwa hapa Tz. Nadhani chini ya marehemu Mengi alichukua franchise Uniliver. Sijui kilitokea nini uniliver Mikocheni ikafa...imebaki huko Irings kwenye Chai nadhani.
Una uhakika mkuu maana Big G niza kitsmbo sana tangu 80s zipo dukani!
Hata mi nilikuwa najiuliza ni big G zipi zilizokuwa zinatengenezwa hapa tz?

Ila big G og zilikuwepo kitambo sana pamoja na pipi kali.

Tulikuwa na panadol za kopo (zilizopigwa marufu) tunazo panadol nyingine zilizofungwa kwenye pakt ya blister, vidonge vyake ni round.
Zinauzwaga ts 1000.

Kiboko yao ni panadol za kenya zenywe zimefungwa kwa pakt ya blister ila ni duara lina shep flan ya kijanja na bei yake ni kubwa.
 
Hakuna bidhaa hapo muhimu kwa maisha yetu ya kila siku. Tunaweza kaa bila hizo bidhaa kwa muda na tukiwaambia Wachina wanaleta instantly!
MImi nilijua unakuja na mbadala wenye tija pengine kuzalisha wenyewe kumbe kugonga hodi tena?😛

Kisha Chumvi na Sabuni sio muhimu ee?

Hiyo ni jeuri ya Masikini.
 
Tuna Mr. Kuku anazalisha kuku bora kabisa kutoka Tanzania...

Tuna Asas na Tanga fresh wanazalisha mazuri vizuri kabisa...

Tunatengeneza vibirit bora kabisa...
 
Tuna Mr. Kuku anazalisha kuku bora kabisa kutoka Tanzania...

Tuna Asas na Tanga fresh wanazalisha mazuri vizuri kabisa...

Tunatengeneza vibirit bora kabisa...

Mr Kuku si mlimtia mbaroni na kukwapua mabilioni yake!

Namwona anajikongoja upya, tumvutie muda zikijaa tumkwapue tena.
 
Umesahau ile RIZLA ambayo vijana wanaitumia kusokotea bangi pia inatoka Kenya
 
Hiyo blueband iliibwa Tanzania tanbond.
Blueband ni ya siku nyingi sana kabla ya tanbond na nafikiri hiyo kampuni ni sehemu ya P&G,moja ya kampuni kubwa sana duniani(Proctor & Gamble),tujitahidi kuzalisha vyetu lakini sikubaliani kufanya substitute ya kutoka China,its worse.Afadhali vya Kenya ni wenzetu na tunachokula tuna uhakika wanakula hicho hicho,mchina anaweza kutengeneza kwa ajili ya Tanzania tu.
 
Sahihi
 
mkuu
mkuu chimvi inatoka lindi bagamoyo na uvinza ipo kibao
 
Chukua supu hapo mkuu nalipa kwa JF pay.

Unakuta mkurugenzi wa Tecno,yupo kwenye promosheni anahamasisha matumizi ya simu hizo huku yeye kabeba iPhone,sa hapo lazma ujiulize kwann yeye hatumii?🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…