TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
☝🏾Sikiliza mtangazaji alichokuwa anasema kuhusu hiyo convoy hapo juu dhidi ya viongozi wetu kutoka Afrika wamepakiwa kwenye mabasi huku Biden kaenda na ndinga zake.
👇🏾Na hapa chini Kuna mdau kaandika hivi;
Our leaders went to the UK and are being treated the way they treat us...
Wadau wengi kwenye mitandao wanahoji why viongozi wetu wa kiafrika wafanyiwe hivi?.
UPDATE:
Kuna huyu jamaa mkenya naona anamaanisha zile tabia zetu za abilia tunapokuwa kwenye safari ndani ya mabasi yetu hapa Afrika.