Hii ni kiboko, imetokea huko London kwenye mazishi

Hii ni kiboko, imetokea huko London kwenye mazishi

Hawa walikuwa na akili kutupita sisi. Trust me.
Sasa hivi nausomi wetu uchwara lkn tunawapigia makofi
Sijui ni kwanini tuliutoa huu Mwamba

EOrBXayWkAAQMtn.jpg
 
View attachment 2361801
[emoji1489]Sikiliza mtangazaji alichokuwa anasema kuhusu hiyo convoy hapo juu kuhusu viongozi wetu kutoka Afrika wamepakiwa kwenye mabasi huku Biden kaenda na ndinga zake.

[emoji1484]Na hapa chini Kuna mdau kaandika hivi;
Our leaders went to the UK and are being treated the way they treat us...

View attachment 2361812
Wadau wengi kwenye mitandao wanahoji why viongozi wetu wa kiafrika wafanyiwe hivi?.
Hili jambo ni la kawaida sana lakini sisi wenyewe tunalifanya kuwa Jambo kubwa...

Macron na wenzie wamepanda basi sembuse Samia na Ruto?

Tatizo sisi Wafrika Tumezoea viongozi ni watu wa kujificha ficha kila mara...

Ni wa tu wa kujitenga na kutafuta umaarufu binafsi kwa wenzetu ni jambo la kawaida.
 
Tatizo sisi Wafrika Tumezoea viongozi ni watu wa kujificha ficha kila mara..
Sasa kiongozi kama waafrika tumezoea viongozi wetu kujificha, si ndiyo maana tukiona tukio kama hilo tunashangaa, maana hatukuwahi kuona hapa afrika!.
 
Huku ni kukosa kujithamini kwakweli, kwani lazima kwenda kwenye msiba wa huyo mchawi aliyetuweka kwenye ukoloni for decades...; marais wa mabara wengine wana basi lao sio?
 
Back
Top Bottom