Skylar
JF-Expert Member
- Nov 10, 2021
- 2,334
- 5,550
Ila huu uzi umenichekesha balaaRaisi wa Somalia katembea kwa miguu wala hajalalamika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila huu uzi umenichekesha balaaRaisi wa Somalia katembea kwa miguu wala hajalalamika.
Hamna ni utani tu.Natania wasije wakanibeba jamaa zetu haha
Hiyo ndio imetoka yaani saa moja na nusu usiku ndio ndugu tu walibaki kumzikaHamna ni utani tu.
Hivi familiya wakimaliza kuzika wataonesha hata kaburi au ndo imeisha hiyo.?
Hivi nao wazungu wanatoa salamu za mwisho kwa kupita kwenye jeneza na kuchungulia au?
Leo nilikuwa busy so sijaangalia sana tv niliacha waingiza mwili na misa.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji174]Umelewa mkuu,rudi home kalale.
You are stupid with such a post/threadWakuu
Mnadhani kuwahi siti ya dirishani ni jambo dogo?
Kapambania sana maana ukikaa dirishani ukitaka kununua chochote ni chap chap.
Ukiwa ugenini na ukapambana kuwahi siti ya dirishani ni suala la kupigiwa mfano sana. Ndio ukakamavu wenyewe.
View attachment 2362144
View attachment 2362145
Hapa nimeelewa kumbe lazima wazike Windsor. Nilikuwa nawaza inawezekana vipi kuzika Westminster Abbey?Hiyo ndio imetoka yaani saa moja na nusu usiku ndio ndugu tu walibaki kumzika
Unaweza kuona makaburi ya waliotangulia zamani hapo
Kitu cha ajabu watu hawajui ni kuwa mazishi ya Malkia kwa ridhaa yake Duke aliipanga maiti iagwe Westminster Abbey ambapo ni sehemu kubwa sana kwa watakaokuja kuaga
Na kuzikwa Windsor
Kwa hiyo sio maandalizi ya wiki wala miezi bali miaka 20
Sasa cha kujiuliza kwa nini wamemuacha Mume wake bila kumzika kwa zaidi ya mwaka?
Je yote haya DUKE anayajua?
Kuwa Malkia atazikwa na Mume wake
Wenzetu wako ahead of time
Hapo Westminster Abbey wamezikwa watu mashuhuri sana Kama Sir Isaac Newton na Charles Darwin na pia Professor Steven Hawkins ambae majivu yake yamewekwa hapo
panaitwa Scientists corner
Ila mambo yao ya ajabu sana ukifuata but very interesting
Ha haaaa jamaninimesikia neno 'packed'
Huko wameshindwa maana hakuna machinga wauza vitu😆View attachment 2362287
Huyu kamaanisha abilia wa mabasi huwa na tabia hizi, sasa sijui hao viongozi wetu huko 😁😂😂😂
HapanaHapa nimeelewa kumbe lazima wazike Windsor. Nilikuwa nawaza inawezekana vipi kuzika Westminster Abbey?
Wazungu bana yaan wanapangaga kifo cha mtu miaka 20 kabla[emoji1787]
Usikute mke na mme watazikwa kaburi moja[emoji2960]
Tulisimuliwa kuwa wafalme / machifu/ watemi etc wa zamani walizikwa na vijukuu vya kuwasindikiza je hii kitu ilikuwa ni kwa waafrica tu au na wazungu ilikuwaga hivyo? Ni story tu nauliza?Hapana
Wafalme wengi sana wwmezikwa Westminster Abbey ila wengine kama Babu na Bibi yake wamezikwa Windsor
Pia George wa Tatu wa 4 na wa Tano wamezikwa Windsor
Ila Malikia alipenda Windsor maana ndio alipokulia tangu mdogo
Kweli watazikwa pamoja wamekumbatiana [emoji1]
Wazungu sio wenzetu wana mengi hatuyajui kuna makafara pia
Mmh sidhani kwa wazungu bali walizikwa na vito vyao vya thamani kama dhahabu na chakula na pia silaha zaoTulisimuliwa kuwa wafalme / machifu/ watemi etc wa zamani walizikwa na vijukuu vya kuwasindikiza je hii kitu ilikuwa ni kwa waafrica tu au na wazungu ilikuwaga hivyo? Ni story tu nauliza?
Ahaaaa chakula tena marehemu anakula?😂Mmh sidhani kwa wazungu bali walizikwa na vito vyao vya thamani kama dhahabu na chakula na pia silaha zao
Mizimu [emoji1]Ahaaaa chakula tena marehemu anakula?[emoji23]