luckyline
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 15,160
- 21,676
🤭🤭🤭Mizimu [emoji1]
Saxons hao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤭🤭🤭Mizimu [emoji1]
Saxons hao
For sure nilikuwa sijui kuhusu hawa watu mpaka nikasoma, tho imenichanganya. Anyway.Mizimu![]()
Saxons hao
Mizimu [emoji1]
Saxons hao
Kheee mumewe kumbe hakuzikwa na nataka nijue ule mwili kuzama pale shimoni unaenda wapiHiyo ndio imetoka yaani saa moja na nusu usiku ndio ndugu tu walibaki kumzika
Unaweza kuona makaburi ya waliotangulia zamani hapo
Kitu cha ajabu watu hawajui ni kuwa mazishi ya Malkia kwa ridhaa yake Duke aliipanga maiti iagwe Westminster Abbey ambapo ni sehemu kubwa sana kwa watakaokuja kuaga
Na kuzikwa Windsor
Kwa hiyo sio maandalizi ya wiki wala miezi bali miaka 20
Sasa cha kujiuliza kwa nini wamemuacha Mume wake bila kumzika kwa zaidi ya mwaka?
Je yote haya DUKE anayajua?
Kuwa Malkia atazikwa na Mume wake
Wenzetu wako ahead of time
Hapo Westminster Abbey wamezikwa watu mashuhuri sana Kama Sir Isaac Newton na Charles Darwin na pia Professor Steven Hawkins ambae majivu yake yamewekwa hapo
panaitwa Scientists corner
Ila mambo yao ya ajabu sana ukifuata but very interesting
Huyu mut ako fit hawezi umwa hata kidogo anakula kila kitu napita bele yake!!n km angekuwa mtanzania afya mbovu mbofu anakufa kabisa!View attachment 2361801
☝🏾Sikiliza mtangazaji alichokuwa anasema kuhusu hiyo convoy hapo juu dhidi ya viongozi wetu kutoka Afrika wamepakiwa kwenye mabasi huku Biden kaenda na ndinga zake.
👇🏾Na hapa chini Kuna mdau kaandika hivi;
Our leaders went to the UK and are being treated the way they treat us...
View attachment 2361812
Wadau wengi kwenye mitandao wanahoji why viongozi wetu wa kiafrika wafanyiwe hivi?.
UPDATE:
Kuna huyu jamaa mkenya naona anamaanisha zile tabia zetu za abilia tunapokuwa kwenye safari ndani ya mabasi yetu hapa Afrika.
View attachment 2361928
Hakuzikwa alikuwa anasubiriwa Malkia afeKheee mumewe kumbe hakuzikwa na nataka nijue ule mwili kuzama pale shimoni unaenda wapi
Wachawi sana mpaka huwa naogopa kupita kwenye majumba ya kizamaniFor sure nilikuwa sijui kuhusu hawa watu mpaka nikasoma, tho imenichanganya. Anyway.
Jamaniiii mimi nikajua huku kwetu ndo tumeshindikana kumbe hatuchekani kwa uchawi 😂Wachawi sana mpaka huwa naogopa kupita kwenye majumba ya kizamani
Yanatisha sana unapita unaona sanamu la mbuzi lina meno ya Simba na mapembe
Ila wao hawarogani kwa roho mbayaJamaniiii mimi nikajua huku kwetu ndo tumeshindikana kumbe hatuchekani kwa uchawi [emoji23]
Mkuu mimi niko huku na ninawafuatilia sana ila sijui kuandika thread nzima bali nitachangia kadri ninavyojua au kuwasoma kwa ukaribu na kupata mawili matatu kwa wazawa wa hapaNdugu Black Sniper naomba anzisha mada uelezee kwa kinagaubaga kuhusu mazishi na mambo wanayofanya hao jamaa kwa hao marehemu wao.
Maana nimejaribu kusoma some replies zako na kugundua una kitu unakifahamu kuhusu huu msiba na hidden issues either kuwahusu malkia na mumewe or kwa mlolongo mzima wa mauti zao mpaka kuzimu huko.
Kulingana na unachokiona, nini maana yao wanapoweka mwili wa mumewe kwa muda mrefu kusuburi mkewe ili wazikwe pamoja na eneo lenyewe linaonekana ni watu wachache sana as ndg na kiongozi "kama wa kimila" kwa huko kwao ndiyo wanaruhusiwa tu?.Mkuu mimi niko huku na ninawafuatilia sana ila sijui kuandika thread nzima bali nitachangia kadri ninavyojua au kuwasoma kwa ukaribu na kupata mawili matatu kwa wazawa wa hapa
Swali zuriKulingana na unachokiona, nini maana yao wanapoweka mwili wa mumewe kwa muda mrefu kusuburi mkewe ili wazikwe pamoja na eneo lenyewe linaonekana ni watu wachache sana as ndg na kiongozi "kama wa kimila" kwa huko kwao ndiyo wanaruhusiwa tu?.