Hii ni kiboko, imetokea huko London kwenye mazishi

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
14,747
Reaction score
24,250
Your browser is not able to display this video.

☝🏾Sikiliza mtangazaji alichokuwa anasema kuhusu hiyo convoy hapo juu dhidi ya viongozi wetu kutoka Afrika wamepakiwa kwenye mabasi huku Biden kaenda na ndinga zake.

👇🏾Na hapa chini Kuna mdau kaandika hivi;
Our leaders went to the UK and are being treated the way they treat us...


Wadau wengi kwenye mitandao wanahoji why viongozi wetu wa kiafrika wafanyiwe hivi?.



UPDATE:
Kuna huyu jamaa mkenya naona anamaanisha zile tabia zetu za abilia tunapokuwa kwenye safari ndani ya mabasi yetu hapa Afrika.

Your browser is not able to display this video.
 
Hapo ndipo inapoonekana tofauti kati ya taifa kubwa kiuchumi na madogo, sioni sababu kwanini tunalalamika wakati ukweli wa hali zetu tunaujua, tuache kujikuza, sisi ni omba omba tu kwa hao jamaa.
 
Walipokaa Berlin wakatugawa mbona hatukulalamika, acheni zenu tena baada ya uhuru wakatuuliza kama hiyo mipaka tuibadilishe tukasema "iacheni tu".
Tuache unafiki "wao"ndio waliotutengenezea mataifa haya ya leo.
 
Mmm wafrika kwa kulalamika ndio namba moja. Huo ni msiba hawajaenda harusini. Kitendo cha kuwatambua sio jambo dogo. Walikwa ni wengi kuwahudumia kwa wakati mmoja ni ngumu. Na hilo sio basi ni gari maalum linalobeba viongozi kwa wakati mmoja.
 
Hivi wale walizi wa Bitozo Hangaya wamekaa wapi.....Hawaonekani!!😳
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…