Hii ni kiboko, imetokea huko London kwenye mazishi

Hili jambo ni la kawaida sana lakini sisi wenyewe tunalifanya kuwa Jambo kubwa...

Macron na wenzie wamepanda basi sembuse Samia na Ruto?

Tatizo sisi Wafrika Tumezoea viongozi ni watu wa kujificha ficha kila mara...

Ni wa tu wa kujitenga na kutafuta umaarufu binafsi kwa wenzetu ni jambo la kawaida.
 
Tatizo sisi Wafrika Tumezoea viongozi ni watu wa kujificha ficha kila mara..
Sasa kiongozi kama waafrika tumezoea viongozi wetu kujificha, si ndiyo maana tukiona tukio kama hilo tunashangaa, maana hatukuwahi kuona hapa afrika!.
 
Huku ni kukosa kujithamini kwakweli, kwani lazima kwenda kwenye msiba wa huyo mchawi aliyetuweka kwenye ukoloni for decades...; marais wa mabara wengine wana basi lao sio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…