Hii ni kiboko, imetokea huko London kwenye mazishi

Mmm wafrika kwa kulalamika ndio namba moja. Huo ni msiba hawajaenda harusini. Kitendo cha kuwatambua sio jambo dogo. Walikwa ni wengi kuwahudumia kwa wakati mmoja ni ngumu. Na hilo sio basi ni gari maalum linalobeba viongozi kwa wakati mmoja.
Kumbe wamepanda basi
 
Hapo ndipo inapoonekana tofauti kati ya taifa kubwa kiuchumi na madogo, sioni sababu kwanini tunalalamika wakati ukweli wa hali zetu tunaujua, tuache kujikuza, sisi ni omba omba tu kwa hao jamaa.
Wakat mnawakabidh dhahab hamkuyajua haya
 
Hatar
 
Tu wategemezi kuchumi, kijamii, kitamaduni, kisiasa, kitechnolojia, kiutawala. wenzetu wako mbali sana.
HATUWEEZI KUFORCE KUFANANA NAO.
HAPO WAMEKWENDA SIO KAMA WANA UCHUNGU SANA NA YULE AJUZA, ILI WASIJE KOSA MISAADA
 
Hivi kwenye hiyo bus kagame na mseven wamo kweli? Walienda? Sidhani wale ni wajeuri
 
Haya marais ya kiafrica yasiyojielewa yalipaswa kusafirishwa kwenye malori.
 
Africa ni Africa tuu,utashangaa na wao wanatoa rambirambi
 
Hahaha nimecheka balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…