Hii ni shida wanayoipata Wanawake matajiri


Dah umenikumbusha
kuna kipindi kwenye utafutaji wangu nilikuwa nasukuma mkokoten wa vinywaji nikamwona dem mmoja rika langu (nilikuwa namkubali sana) niliyekuwa namwona mara kwa mara siku hyo yuko peke yake (ila dada yake naye ana mal na anatembelea bmw)
Nikasema leo namba nachukua pale kumbe dada yake yupo around pale pale
Nilipokuwa nmesimama nae tukasalimiana nimwombe namba
Dada yake kafika …paap! Huyu hapa

Dada yake: unamwongelesha nini mdogo wangu

Mimi: nilikuwa nasalimiana nae

Dada: unasalimiana nae ndio umsogelee karibu

Mimi: hapana

Dada: muone [emoji849]em toka hapa

Mimi kimya nikafata mkokoteni wangu nikaanza kuusukuma

[emoji23][emoji23][emoji23]alivyoniona nasukuma mkokoteni bora ningevunga hata nisiufate kwanza

Kuna watu walikuwa jiran pale hadi walinishangaa na kunicheka

Dada: kaah mtu mwenyewe kumbe msukuma mkokoteni
Utampa nini mdogo wangu
Huna hata hela ….. mwanaume surual
Jiangalie na majasho yako upo upooo
(Si mnajua wadada wanavyojua kusuta..unapandishwa unashushwa unawashwa unazimwa)

Mimi kimya 🥹🥹na mkokoten wangu taratibu nikasonga [emoji3062][emoji3062]
 
Mkuu niunganishe nae nijaribu bahat yangu ....natanguliza shukran zangu za dhati [emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…