Hii ni shida wanayoipata Wanawake matajiri

Achana na hawa wadada ana ka IST na duka la nguo Kinondoni anajiona tajiri. Tajiri anaishi nyumba ya kupanga chumba na sebule na jiko, anajiona kayapatiiiiiiia.

Ninaongelea wale wenye mega projects, mega investments. Kwa kweli wanaishi maisha ya upweke sana.

Jana nilialikwa na rafiki yangu kwa ajili ya mlo wa usiku. Yeye ni mfanyabiashara mkubwa, ana viwanda vyake vya vipodozi na anauza sehemu mbalimbali duniani.

Alinunua nyumba Oysterbay iliyokuwa ya mheshimiwa mmoja mstaafu (zile nyumba waliuziwa kwa bei chee na Mkapa) akaivunja yote na akajenga nyumba za ndoto yake.

Anacholalamika ni kwamba wanaume wanamuogopa kwa ajili ya pesa zake. Hata akomtongoza mwanaume baada ya muda kidogo mwanaume atapotea.

Akaenda mbali zaidi, akasema wanawake wengi matajiri wamejikuta wakiingia kwenye mapenzi ya jinsia moja lesbianism kwa kukosa watu wa kuwa nao.

Tuliongea mengi sana kwa kweli. Wito wangu kwenu vijana, msiogope ma Range Rover yao, watongozeni tu, nao pia ni watu na wanahitaji wenzi wa kuwa nao maishani.
Mwamba, si upite naye wewe..!!??
 
Je shape anayo?
 
Nitakumegea siri za hako ka Demi kako najua hukajui vizuri.

Wala ugali wa mtama na maziwa mgando + michembe wanaomtreat Demi wamo humu babu wanakuchora tu babu, au mpaka niwataje kwa majina ndio utaamini?

Demi hakufai babuu
He he he heeeee
 
Back
Top Bottom