Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka uile?Je shape anayo?
AiseeDah umenikumbusha
kuna kipindi kwenye utafutaji wangu nilikuwa nasukuma mkokoten wa vinywaji nikamwona dem mmoja rika langu (nilikuwa namkubali sana) niliyekuwa namwona mara kwa mara siku hyo yuko peke yake (ila dada yake naye ana mal na anatembelea bmw)
Nikasema leo namba nachukua pale kumbe dada yake yupo around pale pale
Nilipokuwa nmesimama nae tukasalimiana nimwombe namba
Dada yake kafika …paap! Huyu hapa
Dada yake: unamwongelesha nini mdogo wangu
Mimi: nilikuwa nasalimiana nae
Dada: unasalimiana nae ndio umsogelee karibu
Mimi: hapana
Dada: muone [emoji849]em toka hapa
Mimi kimya nikafata mkokoteni wangu nikaanza kuusukuma
[emoji23][emoji23][emoji23]alivyoniona nasukuma mkokoteni bora ningevunga hata nisiufate kwanza
Kuna watu walikuwa jiran pale hadi walinishangaa na kunicheka
Dada: kaah mtu mwenyewe kumbe msukuma mkokoteni
Utampa nini mdogo wangu
Huna hata hela ….. mwanaume surual
Jiangalie na majasho yako upo upooo
(Si mnajua wadada wanavyojua kusuta..unapandishwa unashushwa unawashwa unazimwa)
Mimi kimya 🥹🥹na mkokoten wangu taratibu nikasonga [emoji3062][emoji3062]
🤣🤣Akugonge, ufe. Maiti yako itupwe baharini samaki wakukule. Wavuvi wavue samaki nimnunue... nimkaange nimle afu nimnye ili funza wakutafune vizuri...
Malabuku
Badae anapata upweke uliokithiri au sonona, anakua na hasira zisizo na msingi kiufupi wanapata shida sana.. mara nyingi furaha yao sijui ni nini ?Tatizo linaletwa na ubinafsi wao. Mwanaume akipata pesa jambo la kwanza anafikiria kuongeza mke, hii inamaanisha sisi ni wakarimu. Mwanamke akipata uwezo tu, jambo la kwanza analowaza ni kuwa haitaji mwanaume kusahau kuwa na sisi tuna umuhimu wetu hata kama ikiwa hatuna pesa.
Apambane na genye zake.
SizaniMwanamke akiwa na mshahara wa 4ooooo tu kwa mwezi hakamatiki
Hivi kuna uhusiano gani hawa wamama wenye maduka/business kulana wenyewe kwa wenyewe.. (lesbian)Achana na hawa wadada ana ka IST na duka la nguo Kinondoni anajiona tajiri. Tajiri anaishi nyumba ya kupanga chumba na sebule na jiko, anajiona kayapatiiiiiiia.
Ninaongelea wale wenye mega projects, mega investments. Kwa kweli wanaishi maisha ya upweke sana.
Jana nilialikwa na rafiki yangu kwa ajili ya mlo wa usiku. Yeye ni mfanyabiashara mkubwa, ana viwanda vyake vya vipodozi na anauza sehemu mbalimbali duniani.
Alinunua nyumba Oysterbay iliyokuwa ya mheshimiwa mmoja mstaafu (zile nyumba waliuziwa kwa bei chee na Mkapa) akaivunja yote na akajenga nyumba za ndoto yake.
Anacholalamika ni kwamba wanaume wanamuogopa kwa ajili ya pesa zake. Hata akomtongoza mwanaume baada ya muda kidogo mwanaume atapotea.
Akaenda mbali zaidi, akasema wanawake wengi matajiri wamejikuta wakiingia kwenye mapenzi ya jinsia moja lesbianism kwa kukosa watu wa kuwa nao.
Tuliongea mengi sana kwa kweli. Wito wangu kwenu vijana, msiogope ma Range Rover yao, watongozeni tu, nao pia ni watu na wanahitaji wenzi wa kuwa nao maishani.
Principles zinakataa na kugoma mwanamme kuwa receiver,tangu enzi za mababu na uumbaji mwanamme ni mtoaji(giver),angalia maumbile ya mwanamme na mwanamke tulivyoumbwa,wanaume tunatoa tangu Edeni,hatuna mlango wa kuingiza(no entry) lakini tunatoa kwa kanuni hizo mwanamke anabaki kwenye nafasi ya kupokea na kuwa msaidizi maisha yakiwa hivyo no complains
SijuiHivi kuna uhusiano gani hawa wamama wenye maduka/business kulana wenyewe kwa wenyewe.. (lesbian)
Sonona ndo sourceHivi kuna uhusiano gani hawa wamama wenye maduka/business kulana wenyewe kwa wenyewe.. (lesbian)
Mkuu let me guess,Achana na hawa wadada ana ka IST na duka la nguo Kinondoni anajiona tajiri. Tajiri anaishi nyumba ya kupanga chumba na sebule na jiko, anajiona kayapatiiiiiiia.