Hii ni shida wanayoipata Wanawake matajiri

Hii ni shida wanayoipata Wanawake matajiri

Achana na hawa wadada ana ka IST na duka la nguo Kinondoni anajiona tajiri. Tajiri anaishi nyumba ya kupanga chumba na sebule na jiko, anajiona kayapatiiiiiiia.

Ninaongelea wale wenye mega projects, mega investments. Kwa kweli wanaishi maisha ya upweke sana.

Jana nilialikwa na rafiki yangu kwa ajili ya mlo wa usiku. Yeye ni mfanyabiashara mkubwa, ana viwanda vyake vya vipodozi na anauza sehemu mbalimbali duniani.

Alinunua nyumba Oysterbay iliyokuwa ya mheshimiwa mmoja mstaafu (zile nyumba waliuziwa kwa bei chee na Mkapa) akaivunja yote na akajenga nyumba za ndoto yake.

Anacholalamika ni kwamba wanaume wanamuogopa kwa ajili ya pesa zake. Hata akomtongoza mwanaume baada ya muda kidogo mwanaume atapotea.

Akaenda mbali zaidi, akasema wanawake wengi matajiri wamejikuta wakiingia kwenye mapenzi ya jinsia moja lesbianism kwa kukosa watu wa kuwa nao.

Tuliongea mengi sana kwa kweli. Wito wangu kwenu vijana, msiogope ma Range Rover yao, watongozeni tu, nao pia ni watu na wanahitaji wenzi wa kuwa nao maishani.
Weka namba mkuu
 
Hukumwelewa, alikuwa anakutaka. Kwahiyo ulimla?
 
Kama mwanaume hujishughulishi utapata shida na kukosa Amani ya moyo
unaweza kuwa unajishughulisha na una income kubwa tu lakini mke akawa na double income yani wwe unaweza kusevu ukasema nipeleke limashine la kufulia la milion home unakuta mwenzio kaingiza la milioni tano hapo unajiskiaje..automaticaly utajifeel low kwa kifupi mwanamke hatakiwi kukuzidi hata namba ya kiatu hata urefu ikibidi hata meno yake yasiwe zaidi ya yako
 
Achana na hawa wadada ana ka IST na duka la nguo Kinondoni anajiona tajiri. Tajiri anaishi nyumba ya kupanga chumba na sebule na jiko, anajiona kayapatiiiiiiia.

Ninaongelea wale wenye mega projects, mega investments. Kwa kweli wanaishi maisha ya upweke sana.

Jana nilialikwa na rafiki yangu kwa ajili ya mlo wa usiku. Yeye ni mfanyabiashara mkubwa, ana viwanda vyake vya vipodozi na anauza sehemu mbalimbali duniani.

Alinunua nyumba Oysterbay iliyokuwa ya mheshimiwa mmoja mstaafu (zile nyumba waliuziwa kwa bei chee na Mkapa) akaivunja yote na akajenga nyumba za ndoto yake.

Anacholalamika ni kwamba wanaume wanamuogopa kwa ajili ya pesa zake. Hata akomtongoza mwanaume baada ya muda kidogo mwanaume atapotea.

Akaenda mbali zaidi, akasema wanawake wengi matajiri wamejikuta wakiingia kwenye mapenzi ya jinsia moja lesbianism kwa kukosa watu wa kuwa nao.

Tuliongea mengi sana kwa kweli. Wito wangu kwenu vijana, msiogope ma Range Rover yao, watongozeni tu, nao pia ni watu na wanahitaji wenzi wa kuwa nao maishani.
Ana umri gan? Kuna umri ukifika 50+ inabidi mwana mama utulize clitoris au ioshe kwa maji ya vugu vugu
 
utawala unahitaji nyenzo na pesa ni nyenzo kuu mkeo akiwa nayo zaidi hata iweje kuna mahali utawekwa chini ya himaya na utasalimu amri
Mama hajasema anataka kuolewa jamani. Anataka company tu.. mbona kila mtu anakimbilia ndoa 😂😂mnapenda kuolewa nini na ma mama? 😂
 
Mwanamke yoyote mpambanaji mweny biashara kubwa Lazima atakua na masculinity kubwa.

Hapo ubabe,kufoka,ubize mwingi, kampani na wanaume(wafanyabiashara wenzie)
,Safar za mara kwa mara, kutokudeka kimahaba, hapa ndo mahala pake.

Ukimzingua anakufokea km anavowafokea wafanyakaz wake.

Mwanaume yoyote mwenye uanaume wako huwez kuishi na MKE wa hivi maana keshapoteza sifa za uanamke[emoji4]
Naomba nitoe na mfano wa ulichoandika. Miaka ya nyuma kidogo, sister mmoja alikuaga kafight akapata mali. Alikua ana mtoto mmoja tu. Sasa hasira ya kuwa singo maza akahamisha kwenye utafutaji. Alipata dusco sio poa. Akaanza kuwekeza kwenye madini. Akaja kupata mwanaume akiwa kwenye huu uwekezaji.

Akampenda sana huyo mwanaume na mwanaume hakuwa na maisha. Akamuwezesha mpaka yule mwanaume akapata kazi. Dada akawa anaendelea na upambanaji though safari za nje zikawa zimepungua. Akapata mtoto wa kwanza, wa pili, alivyopata wa tatu yule mwanaume akamwambia bwana mi nimekuoa. Wewe mke wangu nataka sasa utulie. Bakiza investment zako za hapa mjini, asset zingine uza labda nunua viwanja andika majina ya watoto au ya kwako maana ni vya kwako. Nataka nikulee kama mke wangu. Tuwe na investment za hapa dar ambazo utakuwa unazisimamia huku unajikita katika malezi ya watoto wetu.

Wokovu ulikua umekolea kwa huyu dada so alimuelewa mume wake. Na alimkuta jamaa tayari ana mtoto. So wakawa 1-1. Basi yule dada akamheshimu mume wake. Akauza asset nyingi akafungua mini supermarket kubwa na akawa na duka la vyombo. Miaka ikasonga, ex wife wa jamaa akaja kurudi in the picture. Akamloga sana jamaa mpaka jamaa akawa anamshit huyu dada akaanza kurudisha majeshi kwa huyu ex wife. Na hapo ex wife alimuacha kwa matusi, dhalili kubwa sana. Lakin akarogwa akarogeka.

Ilikua kila akienda kulana na huyu lazima jambo litokee gemu inaahirishwa. (Nguvu ya maombi). Huyu present wife hakutetereka akasimama katika imani kwelikweli. Maana aliamua kuacha deals, biashara za mikoani zote kutulia na mume..mume akataka kumfanya ex wife mchepuko wa kudumu. Uzuri mtoto wa ex wife hakuwa anampenda mama ake. Alikua anamwambia baba ake kila mara usimfanyie mama (mlezi) ubaya baba. Mama angu ana ushirikina sana achana nae.

Baadae baba akili zikaja kumrudia. Ndo kuomba sana msamaha kwa mke wake. Maana ilikua ahamie kwa ex wife mazima. Ex wife nae akaumwa sana. Kiasi cha kuja kuuguzwa na present wife. Tena kwa muda mrefu..mpaka umauti ulivyomkuta. Alimuomba sana msamaha kwa kujaribu kumharibia ndoa yake.

So ili huyu dada apate amani...anahitaji mtu wa kuongea nae sana kumueleza what she should do ili aweze kupata a husband. Ama la aende akaishi nje labda. Huko anaweza kuolewa. Hata mm ningekua mwanaume ningeogopa kuoa such a woman kiukweli.
 
Mwanaume ameumbwa kutawala na kuongoza. Huwezi tawala au kuongoza kitu huna mamlaka nacho.

Mwanamke ameumbwa kutawaliwa na kuwa chini ya mamlaka. Ukishakuwa na kila kitu huwezi kubali kuwa chini ya mwanaume asie na uwezo kama wako au kukuzidi.

Mwanamke hajawahi kuumbwa kuwa na mamlaka na nguvu kuliko mwanaume.

Mafahari wawili hawawezi ishi zizi moja hata siku moja.
 
Sio kwa dunia ya leo iloyojaa marioo wanaopenda kitonga labda. Uyo sisteri ajifanyie tathmini anakwama wapi, labda mnyanyasaji.
Wanawake siku zote ni watu wa kulalamika bila kuangalia ni wapi wanapokwama,ujuaji ukiwa mwingi watu wanajiweka pembeni kisha wanasubiria matokeo ndio kama hivyo anaanza kusononeka kimya kimya
 
Back
Top Bottom