Hii ni shida wanayoipata Wanawake matajiri

Hii ni shida wanayoipata Wanawake matajiri

utawala unahitaji nyenzo na pesa ni nyenzo kuu mkeo akiwa nayo zaidi hata iweje kuna mahali utawekwa chini ya himaya na utasalimu amri
Aaaa,wapi nyenzo ni Moja Tu ambayo ni "kuumbwa Mwanaume", hayo mengine huja na kuondoka lakini uanaume upo siku zote. Kazi ya Mungu haina makosa

Sent from my 2201116TG using JamiiForums mobile app
 
Ishu inakuja wengine wana nyodo na dharau.....

Ilikua ni miaka kadhaa nyuma AM 4 REAL
Business NDIO zili nikutanisha na Huyu mdada mfanyabiashara tulikua na mawasiliano ya mwaka before hatuja meet face to face
Siku Moja alikuja ofisin kututembelea it was just waoo...Am 4 real ni binge la handsome....lips...macho...
Kuanzisha uhusiano

Siku Moja usiku saa Saba namwona online tuka Anza kuchati Kwa umri wake na ukwasi nilijua lazima atakua mke wa MTU....

Tulipendana sana....japo muda flan alikua na kiburi na ujeur ila for sure tulikua ma soul mate...... tulipendana sana yaan likes na dislikes.... ambitious dream zilikua sawa.....

Baada ya miez sita ya Bata na kujuana Nika propose tuoane yeye akasema tuwe marafik....nikampa deadline miez mitatu yaan 15 June awe amenijib....
Siku iyo ilipo fika akanijibu tue marafik tulikumbatiana Nika mu hugs nakumbuka nilitoa machozi SABB nilijua na plan b ambayo ningeanza kuifanyia Kaz soon effectively......

Tukapunguza mazoea akawa busy Nika anzisha mchakato Siri Kwa Siri wa kuoa....week ya kwenda kwenye send-off
Yule businesswoman akanitafuta tuonane...akanambia ameridhia tuonane...
Akawa anataka niwe nae Kila mara nisipo jibu sms analaum namtesaa....
Nikajua atakua shetani....wiki iliyo fuata nikafunga ndoa takatifu....
Nikaenda honey moon baadae nikamwambia nikamtumia na picha...

Alisikitika sana na akawa ananipa lawama nikamwambia AM 4 REAL huwaga nipo real......

For sure tulikua ma soul mate mpk Leo huwaga hasahau hili tukio na mpk Leo still haja olewa.....

For sure yule mdada ana dharau yaan wanaume ukiwa wa ajb ajab utashushuriwa na ujipange.....kwangu alikua anashangaa.....Am 4 real wanaume wanasema mm sipendeki....na sinaga hisia....

Mpk Leo sisi ni ni marafik wa maisha

Anacho eleza bujibuji ni sahihi...
4 shizzle ma nizzle
 
Saivi inabidi iwe kataa ndoa
Ya mwanamke anayekuzidi (hela,power,ushawishi) kataaa kataaa kataaaa hawako submissive na wengi wao wana act kwamba wako desperate kataaa kataaa kataaaa

Oeni wanawake wasio na pesa zaidi yenu 😒😵😵😵
Ngoja ninkatafute post moja ya GuDume nicheke
 
Labda niwe kikunio tu ila sio kumuoa kabisaa never fore reva, kama wa maonyesho sawa nipobtayari ataenjoy uwepo wangu, nilikutana na binti mmoja single mom, kweli nilizama mazima nikaja kudunduwa yule binti ni mchakarikaji sana ako na vichenji ako na nyumba mbili , nikasema lol ikabid nijipuruse tu nikavunja mahusiano bila sababu, ila alikuja kurudi maana alienjoy kampani yangu, ila kiukweli wanawake wenye pesa kuna time huwa wanajisahau
 
Dah umenikumbusha
kuna kipindi kwenye utafutaji wangu nilikuwa nasukuma mkokoten wa vinywaji nikamwona dem mmoja rika langu (nilikuwa namkubali sana) niliyekuwa namwona mara kwa mara siku hyo yuko peke yake (ila dada yake naye ana mal na anatembelea bmw)
Nikasema leo namba nachukua pale kumbe dada yake yupo around pale pale
Nilipokuwa nmesimama nae tukasalimiana nimwombe namba
Dada yake kafika …paap! Huyu hapa

Dada yake: unamwongelesha nini mdogo wangu

Mimi: nilikuwa nasalimiana nae

Dada: unasalimiana nae ndio umsogelee karibu

Mimi: hapana

Dada: muone [emoji849]em toka hapa

Mimi kimya nikafata mkokoteni wangu nikaanza kuusukuma

[emoji23][emoji23][emoji23]alivyoniona nasukuma mkokoteni bora ningevunga hata nisiufate kwanza

Kuna watu walikuwa jiran pale hadi walinishangaa na kunicheka

Dada: kaah mtu mwenyewe kumbe msukuma mkokoteni
Utampa nini mdogo wangu
Huna hata hela ….. mwanaume surual
Jiangalie na majasho yako upo upooo
(Si mnajua wadada wanavyojua kusuta..unapandishwa unashushwa unawashwa unazimwa)

Mimi kimya 🥹🥹na mkokoten wangu taratibu nikasonga [emoji3062][emoji3062]
wewe moyoni unajiona ni RUDE BOY wa reason with me 😂😂
 
Achana na hawa wadada ana ka IST na duka la nguo Kinondoni anajiona tajiri. Tajiri anaishi nyumba ya kupanga chumba na sebule na jiko, anajiona kayapatiiiiiiia.

Ninaongelea wale wenye mega projects, mega investments. Kwa kweli wanaishi maisha ya upweke sana.

Jana nilialikwa na rafiki yangu kwa ajili ya mlo wa usiku. Yeye ni mfanyabiashara mkubwa, ana viwanda vyake vya vipodozi na anauza sehemu mbalimbali duniani.

Alinunua nyumba Oysterbay iliyokuwa ya mheshimiwa mmoja mstaafu (zile nyumba waliuziwa kwa bei chee na Mkapa) akaivunja yote na akajenga nyumba za ndoto yake.

Anacholalamika ni kwamba wanaume wanamuogopa kwa ajili ya pesa zake. Hata akomtongoza mwanaume baada ya muda kidogo mwanaume atapotea.

Akaenda mbali zaidi, akasema wanawake wengi matajiri wamejikuta wakiingia kwenye mapenzi ya jinsia moja lesbianism kwa kukosa watu wa kuwa nao.

Tuliongea mengi sana kwa kweli. Wito wangu kwenu vijana, msiogope ma Range Rover yao, watongozeni tu, nao pia ni watu na wanahitaji wenzi wa kuwa nao maishani.


Bro Bujibuji Simba Nyamaume mpe muongozo wa kiroho dada
Naamini wanaomkimbia sio wa hatma yake
 
Back
Top Bottom