Hii ni shida wanayoipata Wanawake matajiri

Hapana mkuu sitagongwa na wengine🙂
Usimtie moyo aspirin kwa kusema hivyo.

Siku ya kugongwa ikifika utagongwa na wagongaji walao ugali wa mtama hadi umtukane aspirin kwa ugongaji wake wa one second chali 😂
 
Achana na hawa wadada ana ka IST na duka la nguo Kinondoni anajiona tajiri. Tajiri anaishi nyumba ya kupanga chumba na sebule na jiko, anajiona kayapatiiiiiiia.

Ninaongelea wale wenye mega projects, mega investments. Kwa kweli wanaishi maisha ya upweke sana.

Jana nilialikwa na rafiki yangu kwa ajili ya mlo wa usiku. Yeye ni mfanyabiashara mkubwa, ana viwanda vyake vya vipodozi na anauza sehemu mbalimbali duniani.

Alinunua nyumba Oysterbay iliyokuwa ya mheshimiwa mmoja mstaafu (zile nyumba waliuziwa kwa bei chee na Mkapa) akaivunja yote na akajenga nyumba za ndoto yake.

Anacholalamika ni kwamba wanaume wanamuogopa kwa ajili ya pesa zake. Hata akomtongoza mwanaume baada ya muda kidogo mwanaume atapotea.

Akaenda mbali zaidi, akasema wanawake wengi matajiri wamejikuta wakiingia kwenye mapenzi ya jinsia moja lesbianism kwa kukosa watu wa kuwa nao.

Tuliongea mengi sana kwa kweli. Wito wangu kwenu vijana, msiogope ma Range Rover yao, watongozeni tu, nao pia ni watu na wanahitaji wenzi wa kuwa nao maishani.
Vipi ulimtongoza?
 
Mkuu mbona unatoa siri za jirani yangu?. Jana wakati mnatoka pale tuliwaona tukajua angalau jirani naye kabahatika. Kumbe unakuja kuvujisha maisha ya mwenzetu huku dah.🙄️🙄️🙄️🙄️
 
Achana na hawa wadada ana ka IST na duka la nguo Kinondoni anajiona tajiri. Tajiri anaishi nyumba ya kupanga chumba na sebule na jiko, anajiona kayapatiiiiiiia.

Ninaongelea wale wenye mega projects, mega investments. Kwa kweli wanaishi maisha ya upweke sana.

Jana nilialikwa na rafiki yangu kwa ajili ya mlo wa usiku. Yeye ni mfanyabiashara mkubwa, ana viwanda vyake vya vipodozi na anauza sehemu mbalimbali duniani.

Alinunua nyumba Oysterbay iliyokuwa ya mheshimiwa mmoja mstaafu (zile nyumba waliuziwa kwa bei chee na Mkapa) akaivunja yote na akajenga nyumba za ndoto yake.

Anacholalamika ni kwamba wanaume wanamuogopa kwa ajili ya pesa zake. Hata akomtongoza mwanaume baada ya muda kidogo mwanaume atapotea.

Akaenda mbali zaidi, akasema wanawake wengi matajiri wamejikuta wakiingia kwenye mapenzi ya jinsia moja lesbianism kwa kukosa watu wa kuwa nao.

Tuliongea mengi sana kwa kweli. Wito wangu kwenu vijana, msiogope ma Range Rover yao, watongozeni tu, nao pia ni watu na wanahitaji wenzi wa kuwa nao maishani.
Mkuu nipe connection ya dada kipenzi
 
Back
Top Bottom