Hii njia inaweza kufaa kupunguza kuchepuka kwa mwanamke alieolewa

Hii njia inaweza kufaa kupunguza kuchepuka kwa mwanamke alieolewa

0ozg Tz

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2016
Posts
4,155
Reaction score
11,168
Hii mbinu itamfanya mwanamke kuogopa kuchepuka kwa kuhisi kuwa ataonekana kuwa mchafu kwa mchepuko wake.

Kwa wale wanaume wanaosafiri safiri sana, yaani kuwa na mkeo inakuwa mara chache, sasa fanya hivi:- mwambie asiwe ananyoa.

Wewe ndio unatakiwa umnyoe tena kwa kuyapunguza tu usiyamalize yote mpaka mbususu iwe na kipara.

Hata kwa wale wanaume ambao mnaishi na wake zenu kila siku, mwambie mkeo kuwa unapenda wote mfuge mavuzi, hakuna kunyoa vipara kwenye sehemu zenu za siri, jifanye ndio kautaratibu ulikokaamua, tumia uanaume mpaka akubali kufuga mavuzi.

NB: Tunapotumia mbinu hii tusisahau kuwahudumia wake zetu kwa kuhakikisha wanapata mahitaji yao yote na vitu wanavyovipenda wanavipata kwa wakati.

Kama huna uwezo wa kutimiza mahitaji ya mkeo usitumie mbinu hii maana ukiitumia utapelekea kuvunja ndoa yako na watoto wenu watateseka.
 
Hii mbinu itamfanya mwanamke kuogopa kuchepuka kwa kuhisi kuwa ataonekana kuwa mchafu kwa mchepuko wake.

Kwa wale wanaume wanaosafiri safiri sana,yaani kuwa na mkeo inakuwa mara chache,sasa fanya hivi:-mwambie asiwe ananyoa mavuzi.
Wewe ndo unatakiwa umnyoe tena kwa kuyapunguza tu usiyamalize yote mpaka mbususu iwe na kipara.

Hata kwa wale wanaume ambao mnaishi na wake zenu kila siku,mwambie mkeo kuwa unapenda wote mfuge mavuzi,hakuna kunyoa vipara kwenye sehemu zenu za siri,jifanye ndo kautaratibu ulikokaamua,tumia uanaume mpaka akubali kufuga mavuzi.

NB:Tunapotumia mbinu hii tusisahau kuwahudumia wake zetu kwa kuhakikisha wanapata mahitaji yao yote na vitu wanavyovipenda wanavipata kwa wakati.

Kama huna uwezo wa kutimiza mahitaji ya mkeo usitumie mbinu hii maana ukiitumia utapelekea kuvunja ndoa yako na watoto wenu watateseka.
Mh.fikiri tena ndugu.
 
Yaaani vuzi limzuie mtu kula papuchi, we ukisikia wapi, tutamla mkeo hivohivo.
My

191574176_586114282331722_4582609318225895467_n.jpg
 
Kwanini uoe mke ambae ukisafiri unakua na mashaka nae? Oa mke ambae moyo wako utakua na amani muda wote, najua mtasema wanawake wa hivyo hakuna lkn nikuambie tu wake wa hivyo wapo.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
shida watu wanataka kuoa wanawake wenye mvuto sana wa nje.... mtu ukiolea uzuri wa mtu jua apo una changamoto kubwa sana
 
Kwanini uoe mke ambae ukisafiri unakua na mashaka nae? Oa mke ambae moyo wako utakua na amani muda wote, najua mtasema wanawake wa hivyo hakuna lkn nikuambie tu wake wa hivyo wapo.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Tatzo unaweza ukawa unamwamin na unakuta hanaga hata dalili za kuliwa lakin kumbe kuna jamaa wanamkaza

Ila kwa kizaz cha sasa ambacho mabinti kabla ya kuolewa wanakuwa na wanaume zaidi ya wawili hawa hata wakiolewa sizan kama wanaweza kuwa na mwanaume mmoja
 
Hii nchi tukodi mjerumani mmoja aje kutuongoza
Vijana wamekua wapuuzi mno
 
Hii mbinu bana.. anyways itakusaidia kutuliza pressure
 
Back
Top Bottom