Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wameacha uzazi, mtoto wa kiboko ni Boko
Pengine uzazi wao haujapata priveledge kama waoWameacha uzazi, mtoto wa kiboko ni Boko
pia inatupa fursa ya kujifunza kutokana na makosa yaliyopita .Tunajifunza historia kujua tunakotoka, kuelewa tulipo na kupanga tunakoelekea.
Ni kweli kujifunza ni sehemu ya kupanga tunakoelekea.pia inatupa fursa ya kujifunza kutokana na makosa yaliyopita .
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
1937 Adolf Hitler alikua mwanaume mzima.Hivi huyo mtoto wa mpiga kura aliyevaa suruali pana kama Madilu System,kaweka mikono mfukoni huku akiwaangalia watoto wa wapigiwa kura with admiration (na chuki iliyojificha), siyo Adolf Hitler kweli?
Kama ni yeye,nadhani chuki dhidi ya Wayahudi ilianzia hapo.Sura ya utotoni ya Adolf inafanana sana huyo dogo.
hahahhaaa.naskia adofo alikua kila akiomba kaz pahala wanampiga chin.akawa akipita maduka ya jews anaychekiiiiHivi huyo mtoto wa mpiga kura aliyevaa suruali pana kama Madilu System,kaweka mikono mfukoni huku akiwaangalia watoto wa wapigiwa kura with admiration (na chuki iliyojificha), siyo Adolf Hitler kweli?
Kama ni yeye,nadhani chuki dhidi ya Wayahudi ilianzia hapo.Sura ya utotoni ya Adolf inafanana sana huyo dogo.