Hii picha imenihuzunisha sana, nani wa kulaumiwa?

Kila goli 5M
 
Aliye piga picha ana akili kubwa kama zangu ...lengo ni kuwaonyesha watanganyika kuwa mama wakambo tuliye naye siyo mama ni SHETANI IBILISI ALIYE LAANIWA NA ABDUL MZAWA WA TUMBO LAKE KALAANIWA
Ovyo! Hapo mama wa kambo anahusika vipi?
Aliyenunua chakula ni mama wa kambo au baba wa huyo mtoto?
 
Kipindi nime enda A_LEVEL boarding school ndio ilikua Mara ya kwanza ku experience Yale Maisha by then.

Kuna watu kwenye kunywa UJI Walikua Wanashika MANDAZI MATANO mkononi wengine hawana hata moja anakula peke ake bila huruma mzee Mimi sikuweza Ile Hali nilikua najihisi VIBAYA kula peke angu MANDAZI MATANO huku mwingine Hana hata moja..

SO UKIKAA SHULE ZA BOARDING SCHOOL NDIO MWANZO WA KUJIFUNZA ROHO MBAYA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…