Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 11,208
- 20,517
Mbona Kuna jirani yangu hapa kazaa na wanaume zaidi ya Kumi tofauti na hata watoto wengine hajui ni WA baba yupi?Kwanza mwanamke unaanzaje kuzaa na wanaume 5 tofauti?
Mbona Kuna jirani yangu hapa kazaa na wanaume zaidi ya Kumi tofauti na hata watoto wengine hajui ni WA baba yupi?Kwanza mwanamke unaanzaje kuzaa na wanaume 5 tofauti?
Daa nacheka kama mazuriKuna watakaosema CCM
Ni kweli yote hayo yameletwa na ccmKuna watakaosema CCM
Kweli kabisa, hapo anatengeneza roho ya ubinafsi, hao watoto hawatakuja kupendana .Jamaa amemtembelea mwanae ambae Mamake amezaa na wanaume watano tofauti, kamnunulia vitamu yeye peke yake huku wengine wakila kwa macho.
View attachment 3295696
Binafsi kama mwanaume/Baba naona jamaa hajafanya sahihi, ni heri angewanunulia wote au angemchukua mwanae akakae nae sehemu afanye yote anayojisikia kumfanyia mtoto kisha amrudishe kwa wenzake kuliko kuwasulubisha kwa makosa yasiokuwa yao
Ni nani wa kulaumiwa hapa?
Li Nani!?Baadae linakuja kuwa kiongozi wa kisiasa nchini mnajiuliza kwanini ni libinafsi hivi? Kumbe ndo lilivyokuzwa.
Na wengine MboweKuna watakaosema CCM
Limwanasiasa mkuu.Li Nani!?
🤔🤔
Sawa 😀😀Limwanasiasa mkuu.
😄😄Kuna watakaosema CCM
Mbona Kuna jirani yangu hapa kazaa na wanaume zaidi ya Kumi tofauti na hata watoto wengine hajui ni WA baba yupi?
Kwani uongo?Kuna watakaosema CCM
ila wanaume wa pwani hawashindwiIngekua ni nguo sawa!sio chakula!watamchukia sana wenzie na uadui juu!!
True father hawezi fanya hivyo!
Hili ni kosa la CHADEMA! Niliwaambia! Ona sasa!Jamaa amemtembelea mwanae ambae Mamake amezaa na wanaume watano tofauti, kamnunulia vitamu yeye peke yake huku wengine wakila kwa macho.
View attachment 3295696
Binafsi kama mwanaume/Baba naona jamaa hajafanya sahihi, ni heri angewanunulia wote au angemchukua mwanae akakae nae sehemu afanye yote anayojisikia kumfanyia mtoto kisha amrudishe kwa wenzake kuliko kuwasulubisha kwa makosa yasiokuwa yao
Ni nani wa kulaumiwa hapa?
Yote michoyo yeye na babaakeWakulaumiwa hapo ni huyo dogo anaekula , anashindwaje kuwafinyia wana kimtindo🤔
Aliyepiga picha nia yake ni kutuma ujumbe kwa viongozi kuhusu waishivyo watoto wai dhidi ya watoto wa watawaliwa, gari nzuri, msosi mzuri japo usio na faida mwilini.Jamaa amemtembelea mwanae ambae Mamake amezaa na wanaume watano tofauti, kamnunulia vitamu yeye peke yake huku wengine wakila kwa macho.