Hii picha imenihuzunisha sana, nani wa kulaumiwa?

Boarding tulikua na kikundi chetu cha mtu 3, hatukuwahi kula msosi wa shule mpaka tunamaliza. Kuna siku waja wametufanyia mchezo mchafu tunatoka prepo tunakuta Wamehamisha Tranka zima tulilokua tunatunzia misosi 😂
 
Huyo mwanaume ni mpuuzi sana
 
Hao wenzake kama wanamwambia "maliza hapo urudi kwenye ugali dagaa"
 
Kama ni baba amemnunulia mwanae zawaidi hiyo, basi angemuita pembeni ambapo watoto wenzake wasione ili kuendeleza umoja na watoto wenzake. Katika hili ameonyesha tabaka.
 
Ni hiyo mbuzi iliyopark gari la blue hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…