Hii picha imenihuzunisha sana, nani wa kulaumiwa?

Huyo mtoto mwenyewe ndo mchoyo,aombe Mungu babake aondoke naye,endapo atamuacha hapo hayo makwenzi atakayopata,siku nyingine akiletewa atawagawia nakwambia.
ndo maana methali inasema ''asiyefunzwa na babaye,hufunzwa na ulimwengu''

Mtoto WA Baba mwenye uchumi Mkubwa Kuliko wengine uliona wapi akipigwa makonzi?
 
Hao watoto Baba Zao nao waende wakatoe zawadi kwa watoto wao.

Huyo Baba yupo Sahihi Sana.
 
Huyo dogo janja unamtwisha msalaba mzito sana mkuu
Watoto siyo wachoyo kama hawajafundishwa uchoyo.

Wakulaumiwa ni mama yao seems kuna wakati huwa anawafanyia hivyo ikitokea baba wa mmoja wao amempa mahitaji yake kwa kauli kama ā€œnyie subirini na baba yenu aje awanunulieā€ akijua anawakomoa waliomzalisha kumbe anawatenganisha watoto,mbaya kabisa hii na mwanamke kwanini anazaa kama mbwa?watoto watano kila mmoja baba yake?
 
Hahaha umesema kwel mkuu

Yaani mtoto wako asile vizuri Kisa ujamaa?

Huyo Mamaake kama anawaonea huruma watoto wake awanunulie chakula

Kama alitaka umoja angezaa na mwanaume Mmoja.
Hakunaga umoja katika Jambo kama Hilo.
Hapo wanasubiri wakue kila Mmoja aende kwenye ukoo wake.
 
Ujamaa ni njia ya kipumbavu sana katika kufanikiwa ,yani wewe ulaze akili mimi nitumike ili wewe ufaidišŸ¤”
 
Ujamaa ni njia ya kipumbavu sana katika kufanikiwa ,yani wewe ulaze akili mimi nitumike ili wewe ufaidišŸ¤”

Uteseke wewe tule wote. Acha uchoyo wewe!

Mtoto aache kujivinjari na Babaake Kisa watoto wenzake?
Au Baba aache kufurahia na mtoto wake kisa Kuwafurahisha watoto wa mwanaume Mwenzake.

Matokeo ya Umalaya lazima yasapotiwe ili iwe funzo
 
Ningekua raisi ningepiga marufuku watu kuzaa kama hawana kipato , hii ni mbaya kwa muskakabadhi wa maisha ya mtoto baadaešŸ¤”
 
Ningekua raisi ningepiga marufuku watu kuzaa kama hawana kipato , hii ni mbaya kwa muskakabadhi wa maisha ya mtoto baadaešŸ¤”

Ukose nguvu Kazi ya kuitumia?

Hao Maskini wanaozaa ndio tunapata cheap Labour Mkuu.

Ukiona serikali haiingiilii Jambo ujue inanufaika aidha direct or indirect
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…