Hii picha imenihuzunisha sana, nani wa kulaumiwa?

Kweli kabisa, hapo anatengeneza roho ya ubinafsi, hao watoto hawatakuja kupendana .
 
Baadae linakuja kuwa kiongozi wa kisiasa nchini mnajiuliza kwanini ni libinafsi hivi? Kumbe ndo lilivyokuzwa.
 
Jambo la kuzaa na wanaume wa tano tofauti si jambo zuri kwa mwanamke...

Niwashauri mabinti na wadada.
Inapofikia hatua ya kutaka kupata mtoto inabidi uwe makini sana!!!! Usizae na mtu labda sababu anakupa vihela hela outing za hapa na pale hela ya kubadilishia wigi zikakuchanganya may b unataka ndoa unaona uzae ulazimishe dada utabaki unalia peke yako.....
Binti pata mtoto na mtu unaetambua huyu ni baba bora na si bora baba usikubali kuwa kiwanda cha kuwazalia wanaume watoto halafu malezi yabaki kwako peke yako
 
Hili ni kosa la CHADEMA! Niliwaambia! Ona sasa!
 
Aliyepiga picha nia yake ni kutuma ujumbe kwa viongozi kuhusu waishivyo watoto wai dhidi ya watoto wa watawaliwa, gari nzuri, msosi mzuri japo usio na faida mwilini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…