Hii picha inatuambia nini? Kwamba Tanzania is full of nepotism? Rais na mkwe wake wanaweka jiwe la msingi!

Hii nchi ni ya kipuuzi sana.....inaelekea kuwa mali ya watu wachache kwa maslahi yao binafsi na vizazi vyao. Ipo siku yatatokea yaliyotokea huko Rwanda ikiwa watawala hawataacha upumbavu wao.
Acha ushamba ndugu yangu.kwa hiyo kiongozi akiwa mchapa kazi aina ya mchengerwa unataka asipate nafasi ya kuwa kiongozi serikalini? Unataka anyimwe haki ya kuwa kiongozi ? Kwa Mawazo ya kijinga na kishamba aina yako basi leo hii George Bush asingekuwa Rais wa Marekani.
 
Na bado, mtateseka sana
 
We endelea kuzingatia hizo code bila content upstairs uone Kama utapata kitu hamjui Dunia ishatoka Zama zenu za kuangalia Mtu kavaa Nini now ni content kichwani .
Nimekuuliza Dunia ipi iliyotoka kwenye dress code?unakimbilia content upstairs,nijibu hiyo Dunia iliyotoka huko ni ipi?
 
Umesahau kuweka number ya simu Leo.
 
Acha kutetea nepotism mkuu. Watu kama wewe ndio waliopelekea machafuko ya Rwanda na sasa wanasota magerezani.
 
Tufanye umeshinda endelea kuzingatia code tuone mwisho wake
Asante Kwa kuwa na kichwa chepesi kuelewa kwamba Kwa Hilo umebugi.... Mwambieni aache kuvaa kama anaenda kuuza nyanya au Yale makofia yake kama anavuna mpunga Burma.....avae kutokana na event na mahali anaenda aache ujinga.....japo Sina neno na akili yake kiutendaji
 
Acha kutetea nepotism mkuu. Watu kama wewe ndio waliopelekea machafuko ya Rwanda na sasa wanasota magerezani.
Hakuna upendeleo hapo.Mh mchengerwa ni mchapa kazi sana tena sana na ndio maana alipotolewaga utumishi uliona namna watumishi wa umma walivyo bubujikwa machozi ya uchungu ,kwa kuwa ni wakati wake ambapo watumishi wa umma walikuwa wanasikilizwa sana na kutendewa haki na kutatuliwa kero zao kwa haraka sana.
 
Mbona upo ya mada? Au ndio kufikiri kwa makalio yenye upele?
 
Kuna mimtu akili zao mpaka wapigiwe ngoma masikoni ndio watazinduka
Hii ni michawa kama kawaida ndiyo inamsifu Rais kwa kujenga barabara wakati anatumia kodi za wananchi kujenga hiyo barabara. Nchi hii ina mijitu ya ajabu sana aisee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…