Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Kwa hiyo ulitaka ajenge barabara kwa kutumia majani? Kama anatumia kodi zetu kujenga barabara na kukamilisha vizuri kwanini tusimpongeze kwa kutumia vizuri kodi zetu kwa ustawi wa Taifa letu?Hii ni michawa kama kawaida ndiyo inamsifu Rais kwa kujenga barabara wakati anatumia kodi za wananchi kujenga hiyo barabara. Nchi hii ina mijitu ya ajabu sana aisee!
Mkuu usitetee utwana na uzandiki kwa sababu ya maslahi yako binafsi ghairi ya maslahi ya taifa. Kuwa mzalendo kwa taifa lako na adabu kwa raia wenzako.Hakuna upendeleo hapo.Mh mchengerwa ni mchapa kazi sana tena sana na ndio maana alipotolewaga utumishi uliona namna watumishi wa umma walivyo bubujikwa machozi ya uchungu ,kwa kuwa ni wakati wake ambapo watumishi wa umma walikuwa wanasikilizwa sana na kutendewa haki na kutatuliwa kero zao kwa haraka sana.
Kama una akili timamu jikite kwenye mada.Mbona unaandika kama unakimbizwa? Tuliza kichwa ndio uandike acha kukurupuka na kuropoka tu kama mgonjwa wa akili
Narudia kusema kuwa kama mtu ni mchapa kazi kama mh mchengerwa sisi watanzania tunamhitaji sana katika serikali yetu ili atusaidie watanzania kama ambavyo mh mchengerwa amekuwa akitusaidia kila eneo ambalo amekuwa akipewa na kuaminiwa kuongoza wizara. Uhusiano wake na mh Rais kindugu haumnyimi nafasi ya kulitumikia Taifa lakeMkuu usitetee utwana na uzandiki kwa sababu ya maslahi yako binafsi ghairi ya maslahi ya taifa. Kuwa mzalendo kwa taifa lako na adabu kwa raia wenzako.
Elewa ninachokisema mkuu. Rais hazifiwi kwa kujenga barabara bali machawa (kama wewe) humsifia kwa kutoa hela za kujengea; utadhani hizo hela anazitoa mfukoni mwake.Kwa hiyo ulitaka ajenge barabara kwa kutumia majani? Kama anatumia kodi zetu kujenga barabara na kukamilisha vizuri kwanini tusimpongeze kwa kutumia vizuri kodi zetu kwa ustawi wa Taifa letu?
Kama una akili Tu imamu ungeeleza majukumu ya Tamisemi na majukumu ya wizara hiyo na waziri wake ni yepi. Ila kwa kuwa una chuki binafsi ndio maana akili yako imepofuka,Kama una akili timamu jikite kwenye mada.
Lazima apongezwe na kusifiwa maana kuna wengine wakikusanya hata kuzitoa tu hawezi na badala yake abaziweka tu benki kana kwamba ni mali yake.mwingine anaanza hadi kuzitapanya hovyo hivyo kwa matumizi yasiyo na tija wala matokeo chanya katika maisha ya watanzania.wengine anafanya kama alivyofanya mobuti seseseko kujenga majumba ya kifahari Ufaransa ambayo aliyaacha yote baada ya kufarikiElewa ninachokisema mkuu. Rais hazifiwi kwa kujenga barabara bali machawa (kama wewe) humsifia kwa kutoa hela za kujengea; utadhani hizo hela anazitoa mfukoni mwake.
Huyo mkuu nyankurungu2020 ni masalia ya sera za JPM, atatafuta chochote kinachoiponda awamu hii na kuiweka juu ile ya hayati.Vitu vingine vidogo vidogo kama hivi sioni hata sababu ya kuvidiscuss humu jf !
Kwani kuwa na Mkwe au mtoto au mume katika shughuli yeyote ya kijamii au ya kitaifa unayoifanya kuna kosa gani hapo ??!
Yupo Rais humu Africa alimteua mke wake kuwa makamu wa Rais 😅🙏
Na mwingine kateua watoto wake wawili ni mawaziri,sio tatizo, shida ni kuwa hivi vyeo vinapatikana kwa kujuana wala sio kwa uwezo wa mhusika, kingekuwepo chombo cha mchujo wa hawa watu sidhani kama wangebahatika kupata hizo nafasi.Mfano unajua unajua tuanalisha wanaukoo wangapi wa familia ya kikwete na Mwinyi?Vitu vingine vidogo vidogo kama hivi sioni hata sababu ya kuvidiscuss humu jf !
Kwani kuwa na Mkwe au mtoto au mume katika shughuli yeyote ya kijamii au ya kitaifa unayoifanya kuna kosa gani hapo ??!
Yupo Rais humu Africa alimteua mke wake kuwa makamu wa Rais 😅🙏
Kwani hoja ni majukumu Tamisemi?Kama una akili Tu imamu ungeeleza majukumu ya Tamisemi na majukumu ya wizara hiyo na waziri wake ni yepi. Ila kwa kuwa una chuki binafsi ndio maana akili yako imepofuka,
Kwani hoja ni majukumu Tamisemi?Kama una akili Tu imamu ungeeleza majukumu ya Tamisemi na majukumu ya wizara hiyo na waziri wake ni yepi. Ila kwa kuwa una chuki binafsi ndio maana akili yako imepofuka,
Huna pointNepto nini sijui nini..acha chuki utafanikiwa maishani mwako
Hoja sio majukumu ya TamisemiKama una akili Tu imamu ungeeleza majukumu ya TaSmisemi na majukumu ya wizara hiyo na waziri wake ni yepi. Ila kwaWTamisemi?
Si wanaimba kabisa ccm Ina wenyeweNi Aibu sana kuwa mwanachama wa CCM, CHAMA CHA KIFAMILIA
Hoja yako ni ipi sasa ? Kwani mchengerwa hastahili kuteuliwa? Kwamba hana sifa? Kwamba siyo mchapa kazi? Kwamba siyo mtu sahihi? Nini kinamyima sifa ya kuwa waziri? Akiwa mkwe wa Mh Rais hastahili kuteuliwa ? Hana haki ya kuwa serikalini?Kwani hoja ni majukumu Tamisemi?
Mavazi ya watumishi wa umma, mheshimiwa waziri ule waraka wa mavazi yeye haumhusu ila walimu na makarani wengine?
NepotismHoja yako ni ipi sasa ? Kwani mchengerwa hastahili kuteuliwa? Kwamba hana sifa? Kwamba siyo mchapa kazi? Kwamba siyo mtu sahihi? Nini kinamyima sifa ya kuwa waziri? Akiwa mkwe wa Mh Rais hastahili kuteuliwa ? Hana haki ya kuwa serikalini?