Hii Picha Itadumu kwa Miaka Mingi Sana Na Kuonyesha kuwa hakuna picha Ya bahati mbaya Inayopigwa Ikulu

1997 wakati Lissu yuko anawapambania wachimbaji wa madini Nyamongo Mbowe alikuwa wapi?

Wewe bado mtoto kwenye siasa, Mbowe ndio alikuwa anamlipia Lissu gharama zote za kutetea wachimba madini, nauli ya ndege kwenda na kurudi, fedha za malazi na chakula na pocket money Mbowe ndio alikuwa akilipia kila kitu, kama hujui mambo uliza
 
Hawezi akaelewa huyo haya mambo maana wakati huo alikuwa mtoto mdogo sana kama kinda la ndege.
 
Hiyo picha imetengenezwa, "Photoshop". Ili kujua angalia mkao wa picha wa Wasira, Lissu, anayefuata na Mbowe: hawakuwa sehemu ya hiyo picha.
Bila shaka umeanza kufuatilia Saisa majuzi au itakuwa ilikuwa mdogo sana wakati huo au ulikuwa maporini sana huko .
 
Umesamehewa dhambi zako bure kabisa
 
Kweli nimeamini jitu likiwa shabiki la ccm linakuwa kama msukule! Bichwa linakuwa limejaa mavi badala ya ubongo.
 
Rais ni mmoja tu Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. ambaye ndiye amekula kiapo cha Urais
Huyo mama amekugusa hadi chumbani kwa mkeo nasikia baada ya kutangazwa kuwa mgombea urais ulifurahi mpaka nguvu za kiume zikaongezeke...
 
Kweli nimeamini jitu likiwa shabiki la ccm linakuwa kama msukule! Bichwa linakuwa limejaa mavi badala ya ubongo.
Sawa nashukuru na pole sana .Maana ukweli mchungu ni kuwa CCM haina mbadala wake hapa nchni na wala hakuna mbadala wa CCM utakaa utokee hapa Nchini. CCM itaongoza Taifa hili mpaka Mwisho wa Dunia
 
Mbona hujabubujikwa na machozi mkuu
 
Huyo mama amekugusa hadi chumbani kwa mkeo nasikia baada ya kutangazwa kuwa mgombea urais ulifurahi mpaka nguvu za kiume zikaongezeke...
Unajidhalilisha sana na kuwa kama kubwa jinga
 
Binafsi nina picha kadhaa nimepiga ikulu! Wewe hata nguo zako hazijapiga picha ikulu Huwa unasikia kwenye radio na kuiona Kwa tv! Utalamba makalio mpaka lini Lucasina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…