SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Wahuni siyo watu wazuri kabisa ila na wewe umezidi tamaa ndiyo hapo hapo walipokunasiaNakusamehe na nitaendelea kukusamehe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wahuni siyo watu wazuri kabisa ila na wewe umezidi tamaa ndiyo hapo hapo walipokunasiaNakusamehe na nitaendelea kukusamehe
1997 wakati Lissu yuko anawapambania wachimbaji wa madini Nyamongo Mbowe alikuwa wapi?
Nakusamehe kwa kuwa hujui ulitendalo.Nisamehe kwa kukutonesha jeraha lililokaribia kukauka...
Hawezi akaelewa huyo haya mambo maana wakati huo alikuwa mtoto mdogo sana kama kinda la ndege.Wewe bado mtoto kwenye siasa, Mbowe ndio alikuwa anamlipia Lissu gharama zote za kutetea wachimba madini, nauli ya ndege kwenda na kurudi, fedha za malazi na chakula na pocket money Mbowe ndio alikuwa akilipia kila kitu, kama hujui mambo uliza
Bila shaka umeanza kufuatilia Saisa majuzi au itakuwa ilikuwa mdogo sana wakati huo au ulikuwa maporini sana huko .Hiyo picha imetengenezwa, "Photoshop". Ili kujua angalia mkao wa picha wa Wasira, Lissu, anayefuata na Mbowe: hawakuwa sehemu ya hiyo picha.
Wewe jamaa lazima utakuwa pungaNimekusamehe na nitaendelea kukusamehe
Umesamehewa dhambi zako bure kabisaMama kakufikia wewe tahira, una maisha magumu na jinga pia. Anza kujiandaa mwenyezi mungu ameshaanza kuchukua majinga kama wewe na wewe utachukuliwa hivi karibuni. Mzazi wako aliuza ng'ombe kusomesha ng'ombe nyingine. Mungu chukua hili lishetani haraka lichome Moto liteketee kabisa
Naendelea kukusamehe bure.Wewe jamaa lazima utakuwa punga
Huyo mama amekugusa hadi chumbani kwa mkeo nasikia baada ya kutangazwa kuwa mgombea urais ulifurahi mpaka nguvu za kiume zikaongezeke...Rais ni mmoja tu Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. ambaye ndiye amekula kiapo cha Urais
Sawa nashukuru na pole sana .Maana ukweli mchungu ni kuwa CCM haina mbadala wake hapa nchni na wala hakuna mbadala wa CCM utakaa utokee hapa Nchini. CCM itaongoza Taifa hili mpaka Mwisho wa DuniaKweli nimeamini jitu likiwa shabiki la ccm linakuwa kama msukule! Bichwa linakuwa limejaa mavi badala ya ubongo.
Mbona hujabubujikwa na machozi mkuuNdugu zangu Watanzania,
Nimewahi elezea juu ya Picha hii siku za nyuma kidogo. leo tena nimeendelea kuiangalia picha hii na kuendelea kuitafakari zaidi na zaidi na kujikuta nikiguswa sana na Picha hiyo.
Embu Fikiria hapo. Kutoka pichani Mheshimiwa Balozi DKT Emmanueli Nchimbi Amependekezwa na kupitishwa na Rais Samia kuwa Mgombea Mwenza wake katika uchaguzi Mkuu utakaofanyika Mwishoni Mwa Mwaka huu wa 2025..
Lakini Pia Huyo huyo Balozi DKT Emmanueli Nchimbi ndiye katibu Mkuu wa CCM kwa sasa.
Hapo hapo ukitizama pichani unamuona Mzee Stephen Wasira.Ambaye naye Majuzi juzi ametoka kuteuliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa. Ambaye huyo Mwenyekiti Ni Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.Ambaye ndiye Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
Ndugu zangu Watanzania hakuna picha inayopigwa kwa bahati mbaya katika Siasa na katika Dunia hii. Angalia sana picha unazopiga na kuweka mitandaoni.View attachment 3209149
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
We mbona ujinga wako una- uanika kila siku na sikuzuii.Embu jitahidi kuficha ujinga wako mbele za watu
Unajidhalilisha sana na kuwa kama kubwa jingaHuyo mama amekugusa hadi chumbani kwa mkeo nasikia baada ya kutangazwa kuwa mgombea urais ulifurahi mpaka nguvu za kiume zikaongezeke...
Mimi siyo mjinga kama weweWe mbona ujinga wako una- uanika kila siku na sikuzuii.
Binafsi nina picha kadhaa nimepiga ikulu! Wewe hata nguo zako hazijapiga picha ikulu Huwa unasikia kwenye radio na kuiona Kwa tv! Utalamba makalio mpaka lini LucasinaNdugu zangu Watanzania,
Nimewahi elezea juu ya Picha hii siku za nyuma kidogo. leo tena nimeendelea kuiangalia picha hii na kuendelea kuitafakari zaidi na zaidi na kujikuta nikiguswa sana na Picha hiyo.
Embu Fikiria hapo. Kutoka pichani Mheshimiwa Balozi DKT Emmanueli Nchimbi Amependekezwa na kupitishwa na Rais Samia kuwa Mgombea Mwenza wake katika uchaguzi Mkuu utakaofanyika Mwishoni Mwa Mwaka huu wa 2025..
Lakini Pia Huyo huyo Balozi DKT Emmanueli Nchimbi ndiye katibu Mkuu wa CCM kwa sasa.
Hapo hapo ukitizama pichani unamuona Mzee Stephen Wasira.Ambaye naye Majuzi juzi ametoka kuteuliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa. Ambaye huyo Mwenyekiti Ni Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.Ambaye ndiye Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
Ndugu zangu Watanzania hakuna picha inayopigwa kwa bahati mbaya katika Siasa na katika Dunia hii. Angalia sana picha unazopiga na kuweka mitandaoni.View attachment 3209149
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Wewe ni zaidi ya mjinga! Profound foolMimi siyo mjinga kama wewe
Hicho kichwa hata uwezo wa visungura hakina.We jamaa ukilewa visungura unakuwa hivyo kuliko kinyesi....
Mimi siyo mjinga kama wewe