Hii picha kuna kitu hakiko sawa: Mzee George Mkuchika amesimama vijana wamekaa

Lakini kuna kipindi Raisi Samia alisema Vijana tuwapishe wazee kwenye viti hasa kwenye usafiri wa umma. Imekaaje hapo mbona vijana hawajampisha Mzee Mkuchika kukalia kiti?

Au ile kauli ilitulenga sisi vijana tusio kuwa viongozi wa Chama na Serikali?
Huyo huwa hamaanishi anachosema; huwa ni mipasho tu, ndiyo maana hatiliwi maanani kwa lolote.
 
Ukiachana na protokali. Inawezekana zilipigwa nyingine ambazo alikaa pia wakachagua hii kupeleka kwa hadhara
 
Huo mwili na.umri wake akikaa kunyanyuka mpaka support hivyo anakwepa fedheha ndogondogo.😀
 
Shida ni kwa kapten Mkuchika kuendelea kung'ang'ania nafasi za vijana, asilalamike akisimama si anajifanya kijana?
 
Amejidhalilisha yeye mwenyewe kwa UROHO wa madaraka, alipaswa kustaafu siku nyingi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…