Hii picha kuna kitu hakiko sawa: Mzee George Mkuchika amesimama vijana wamekaa

Hivi kuna protokali inayoheshimiwa zsidi kuliko kutanguliza hekina na busara ya uzee?
Nikuulize tu, kwani Lukuvi anaweza kumtuma mafaili mzee Mkuchika?
 
Hivi kuna protokali inayoheshimiwa zsidi kuliko kutanguliza hekina na busara ya uzee?
Nikuulize tu, kwani Lukuvi anaweza kumtuma mafaili mzee Mkuchika?
Kiongoz unadhan samia hamtumi kabudi, mkuchika, lukuvi, .. mkuu wa usalama .
 
Biteko na mkuchika wote huyu hana wizara huyu katiba ya nchi haitambui Naibu waziri mkuu
 
Nasoma hizo facial expressions zao tu.
 
kuna wakati tutaanza kujadili mtoto asilalie kitanda cha 6×6 na mkewe wakati mzee wake yuko na 5x6. Hujui biteko anaweza kumuagiza mzee mkuchika; usitumie uzee wako au ukongwe kituoni kwenda kumuamsha mkuu wa shule kwenye kiti. Staafu kama unataka kutumia umri kazini na vyeo kazini.
 
Hicho sio kikao cha ukoo hapo wamekaa kulingana na vyeo vyao sijui ulitaka akae kwa nani hapo?
 
Wacha asimame kwani angetulia nyumbani kulea wajukuu na vitukuu angepungukiwa nini?
 
Shida ni kwa kapten Mkuchika kuendelea kung'ang'ania nafasi za vijana, asilalamike akisimama si anajifanya kijana?
kwani hapo ni shambani kuwa vijana wana nguvu za kulima? ni hekima ndo inatafutwa, tulivyopata uhuru, rais alikuwa na miaka 36 kijana kabisa alifanya nini?

tumeajiri vijana 1800 tra hatuoni ongezeko la kodi, sijui tuwatimue wakafanye kazi ya lubet
 

Shida nyie vijana hamjui. Mkuchika ni Captain. Mjeshi huyo, hana shobo. Katika kundi hilo, yeye pekee ndiyo mjeda
 
Shida nyie vijana hamjui. Mkuchika ni Captain. Mjeshi huyo, hana shobo. Katika kundi hilo, yeye pekee ndiyo mjeda
kabisa hapo hata mjusi akidondoka mkuchika ndo atafanyakazi ya kumpiga na kiatu wengine wote watapanda juu ya viti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…