Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,042
- 17,320
Alafu huyo aliyekuwa anamsikiliza aliyekunja viganja sijui alikuwa anamletea umbeya gani? 😏
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mgombea urais kupitia tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akimsikiliza mtoto wa aliyekuwa Waziri wa Viwanda na Biashara marehemu Abdallah Kigoda, Omary Abdallah Kigoda mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.Alafu huyo aliyekuwa anamsikiliza aliyekunja viganja sijui alikuwa anamletea umbeya gani? 😏
View attachment 3215788
Aaaah! Kuumbeee! Asante sana broh! Vincenzo JrMgombea urais kupitia tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akimsikiliza mtoto wa aliyekuwa Waziri wa Viwanda na Biashara marehemu Abdallah Kigoda, Omary Abdallah Kigoda mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
Au soma
![]()
DK MAGUFULI ASHIRIKI KUUPOKEA MWILI WA MAREHEMU DK KIGODA DAR
ccmchama.blogspot.com
Siku amefariki Kuna mtu alinipigia simu nikiwa sijapokea taarifa akaniambia "umesikia!?"nikamwambia naomba usiniambie ,ndio akaniambia ukweli niliumiaHuyu mzee sikuwahi kumpenda lakini taarifa za kifo chake usiku ule nililiaaa
Aendelee kupumzika kwa amani masikini
Siku amefariki Kuna mtu alinipigia simu nikiwa sijapokea taarifa akaniambia "umesikia!?"nikamwambia naomba usiniambie ,ndio akaniambia ukweli niliumia
Kipi kilikuliza ilhali hukua unampenda?Huyu mzee sikuwahi kumpenda lakini taarifa za kifo chake usiku ule nililiaaa
Aendelee kupumzika kwa amani masikini
Kwani mkuu ukiwa humpendi mtu ndo unatakiwa kufurahi akifa?Kipi kilikuliza ilhali hukua unampenda?
Hii ndio integrity ya wanajukwaa wa jf na Jukwaa Hili. Huwa najisemeaga ukiweza kudanganya watu humu itakuwa umempindua shetani. 😄😄Mgombea urais kupitia tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akimsikiliza mtoto wa aliyekuwa Waziri wa Viwanda na Biashara marehemu Abdallah Kigoda, Omary Abdallah Kigoda mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
Au soma
![]()
DK MAGUFULI ASHIRIKI KUUPOKEA MWILI WA MAREHEMU DK KIGODA DAR
ccmchama.blogspot.com
Kwa mtu uliekua 'humpendi' kwa kawaida tunategemea kama sio kufurahi angalau uwe indifferent kama Lissu alivyosema kipiñdi kile 'sifurahii na wala sina huzuni'.Kwani mkuu ukiwa humpendi mtu ndo unatakiwa kufurahi akifa?
Kwa mtu uliekua 'humpendi' kwa kawaida tunategemea kama sio kufurahi angalau uwe indifferent kama Lissu alivyosema kipiñdi kile 'sifurahii na wala sina huzuni'.