Hii picha ya mzee baba huwa inanifikirisha sana!

Mimi pia niliumia sana
Taarifa za kifo chake nilizipata huko kwenye status za whatsap...niliamsha baba na mama yangu kwa kilio 😓😓
Huyu Magu aliliza wengi! Nakumbuka sisi wapiga vyombo tulikuwa tunaogopa hata kuangalia TV! Ukizunguka nyuma unakuta mtu kakaa peke yange kala angle analia😭
 
Ilikuwa very sad news kiukweli
 
Siku ya msiba Wake
Usiku nili huzunika sana ... Asubuhi Yale nilikuwa na appointment ya kuonana na Rev. Dr. Eliona Kimaro Pale Kijitonyama!

Aiseee! Hata nipofika asubuhi kuonana nae sikuwa na hoja za kuongea na Mchungaji tulikuwa na huzuni tu.

All in all ... Mungu ni mwema
 
ukali wa jamaa na mikwala kibao ilinipatia hela flani ya kibwege kiasi cha Tsh 500K

nilienda kituo cha treni kusubiria miadi na mdada mmoja jamaa alipo niona nimekaa muda sana huku naongea na simu alinifata na kunambia
najua umetumwa kuangalia mambo yanavyo enda hapa, ukweli wote tunatafuta maisha ko tusiharibiane

japo nilikataa sijatumwa jamaa akanipa 500k niondoke

nilisepa na mzg kiukweli, jpm angebaki kwa muda watanzania walikuwa wanaishi kwa uwoga sana hasa waliopo makazini
 
Unatupeleka mufindi jamaa kwenye kilimo cha kile kinywaji cha moto tunachokunywa asubuhi
 
Huyu mzee sikuwahi kumpenda lakini taarifa za kifo chake usiku ule nililiaaa

Aendelee kupumzika kwa amani masikini
Ulilia nini wakati ulikua humpendi 😔
 
Back
Top Bottom