Hii picha ya mzee baba huwa inanifikirisha sana!

Alafu huyo aliyekuwa anamsikiliza aliyekunja viganja sijui alikuwa anamletea umbeya gani? 😏
View attachment 3215788
Mgombea urais kupitia tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akimsikiliza mtoto wa aliyekuwa Waziri wa Viwanda na Biashara marehemu Abdallah Kigoda, Omary Abdallah Kigoda mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.


Au soma
 
"Mkuu nadhani wamedhamiria kukuondoa na hii sequence ya wazee wanotangulia ni sehem ya plan,tunajitahidi kupambana lakini hatujui yupi adui yupi rafiki,Hapa tumepanic kabisa hatujui muelekeo ni upi!nadhani tukupaleke nyumbani chato kwanza tuone hali itakuaje"

Nawaza!
 
Hii ndio integrity ya wanajukwaa wa jf na Jukwaa Hili. Huwa najisemeaga ukiweza kudanganya watu humu itakuwa umempindua shetani. 😄😄
 
Kwani mkuu ukiwa humpendi mtu ndo unatakiwa kufurahi akifa?
Kwa mtu uliekua 'humpendi' kwa kawaida tunategemea kama sio kufurahi angalau uwe indifferent kama Lissu alivyosema kipiñdi kile 'sifurahii na wala sina huzuni'.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…